duh kwanza pole kama kweli yamekukuta.
pili asante kwa kuwajulisha wanaume wenzako wa jamii forum ila hujatwambia mwishowe ilikuwaje?kaishia kukutukana hakuvaa ama?
hongera bwana kwa kuyashinda majaribu kama Yusuphu au uliogopa mishumaa maana ushazoea gizaa?
ha ha ha halikuwa namjua bwana...ange MSUE jina lake katoa wapi ha ha ha.au wale wenye kesi walimwandalia ili asahau kilichompeleka
Hiii movie kwanza haijapangiliwa vizuri. alafu Its fiction director analazimisha iwe based on true story. Ebu tuambie jina la hiyo hoteli ikiwezekana wa huko majuu waicheki. teh teh
Wakati anataka kukupa huduma alikuwa hajajua kuwa wewe nyani?
Huyu ***** nimemkubali, sijamwona mkare zaidi.Amefanya market segmentation na kuidentify target customer wake ni male travellers wanofikia mahotelini ,du hatari ama kweli she is in the scramble but moves with grace.
Hahahahaa......... we mdada ni noma....khaa!Haya tushajuwa ulikuwa Liverpool, mara yako ya ngapi hii kwenda huko?
Hapo kuna kitu/jambo lililowazi linalofichwa kwenye hii/hili hadithi/tukio.Hiii movie kwanza haijapangiliwa vizuri. alafu Its fiction director analazimisha iwe based on true story. Ebu tuambie jina la hiyo hoteli ikiwezekana wa huko majuu waicheki. teh teh
ha ha ha ha, ulikuwa humjui mkuuu??? ni noma ile mbaya?????Hahahahaa......... we mdada ni noma....khaa!
majibu gani tena?
Yani anampa mtu za usoni tena kavukavu!ha ha ha ha, ulikuwa humjui mkuuu??? ni noma ile mbaya?????