Machangudoa wa UK kiboko,tahadhari kwa wana JF

Mvua Ya Kiangaz

JF-Expert Member
May 24, 2011
308
144
Wa Ndugu,

Kama wiki moja hivi iliyopita nilikuwa Liverpool,UK kwa dhumuni la kumuwakilisha mteja wangu kwenye baraza(tribunal) moja la migogoro juu ya biashara ya pamba, nilipofika Heathrow Airport nilikutana na binti mmoja umri wake kama 17-19 akiwa na bango lenye jina langu la kunikaribisha,akajitambulisha kuwa anaitwa Cassie na ni mhudumu wa hotel niliyopanga kufikia:

Kwa kuwa ilikuwa week end nilipanga kukaa London muda wote hadi jumatatu ambayo ilikuwa siku ya kesi, nikaongozana nae moja kwa moja hadi hotelini,tulipofika reception tukaulizwa mko pamoja?? akajibu "oooh, yes! akanisindikiza hadi chumbani kwangu na akaniomba aingie ili aweke mizigo yangu,kwa kuwa nilijua labda ndiyo British hospitality nikakubali.............kumbe ilikuwa janja ya nyani[ili ionekane kama tuko pamoja,yaani nimekuja nae] alipofikisha mizigo akaniaga na kuondoka.

Baadae niliondoka mpaka Sussex kuonana na ndugu yangu mmoja na kula bata kiaina,niliporudi usiku reception wakaniambia funguo anazo mwenzangu.....nikaduwaa lakini sikutaka kuwashtua ili nijue nini kinaendelea in case mambo yakienda kombo niwa sue(niwashtaki kwa usumbufu ili wanilipe fidia)...basi ile kuingia chumbani,nikamkuta Cassie akiwa na night dress ameketi kwenye kijimeza,amewasha mishumaa huku akinywa mvinyo akanipokea kwa mahaba mazito kwa maneno ya ulaghai.......AT YOUR SERVICE P'SE,nikamuuliza what service?? akaanza kusaula,nikasema yaleyale ya STRAUSS KAHN!!!! nikachukua simu ili kupiga reception na polisi akanisihi nisifanye hivyo kwani yupo kazini,nilipomuuliza kwa nini hakusema akaniambia yeye sio HO, bali anatafuta pesa za kwenda mapumzikoni tu........nilipomsamehe aliniporomoshea matusi makubwa eti mi nyani tu................

Hayo ndo yaliyonisibu,kwa hiyo mkuwe makini jamani wale mnaopenda kutembelea pande hizo........
 
Unamoyo ndugu uliacha kirahisirahisi duuu au pesa haikukidh.??? ila shukran kwa taarifa

Chavka........a ho is a ho! nisingeweza kutoa bikira yangu kwa ho, mbona hata bongo wapo?????...........niliacha lakini nilimuachia kama euro 200 kama asante ya kunipokea na kunibebea mizigo...........
 
with costs
twenty-pounds-notes.jpg

Wa Ndugu,

Kama wiki moja hivi iliyopita nilikuwa Liverpool,UK kwa dhumuni la kumuwakilisha mteja wangu kwenye baraza(tribunal) moja la migogoro juu ya biashara ya pamba, nilipofika Heathrow Airport nilikutana na binti mmoja umri wake kama 17-19 akiwa na bango lenye jina langu la kunikaribisha,akajitambulisha kuwa anaitwa Cassie na ni mhudumu wa hotel niliyopanga kufikia:

Kwa kuwa ilikuwa week end nilipanga kukaa London muda wote hadi jumatatu ambayo ilikuwa siku ya kesi, nikaongozana nae moja kwa moja hadi hotelini,tulipofika reception tukaulizwa mko pamoja?? akajibu "oooh, yes! akanisindikiza hadi chumbani kwangu na akaniomba aingie ili aweke mizigo yangu,kwa kuwa nilijua labda ndiyo British hospitality nikakubali.............kumbe ilikuwa janja ya nyani[ili ionekane kama tuko pamoja,yaani nimekuja nae] alipofikisha mizigo akaniaga na kuondoka.

Baadae niliondoka mpaka Sussex kuonana na ndugu yangu mmoja na kula bata kiaina,niliporudi usiku reception wakaniambia funguo anazo mwenzangu.....nikaduwaa lakini sikutaka kuwashtua ili nijue nini kinaendelea in case mambo yakienda kombo niwa sue(niwashtaki kwa usumbufu ili wanilipe fidia)...basi ile kuingia chumbani,nikamkuta Cassie akiwa na night dress ameketi kwenye kijimeza,amewasha mishumaa huku akinywa mvinyo akanipokea kwa mahaba mazito kwa maneno ya ulaghai.......AT YOUR SERVICE P'SE,nikamuuliza what service?? akaanza kusaula,nikasema yaleyale ya STRAUSS KAHN!!!! nikachukua simu ili kupiga reception na polisi akanisihi nisifanye hivyo kwani yupo kazini,nilipomuuliza kwa nini hakusema akaniambia yeye sio HO, bali anatafuta pesa za kwenda mapumzikoni tu........nilipomsamehe aliniporomoshea matusi makubwa eti mi nyani tu................

Hayo ndo yaliyonisibu,kwa hiyo mkuwe makini jamani wale mnaopenda kutembelea pande hizo........

duh kwanza pole kama kweli yamekukuta.
pili asante kwa kuwajulisha wanaume wenzako wa jamii forum ila hujatwambia mwishowe ilikuwaje?kaishia kukutukana hakuvaa ama?
 
Kweli kabisa mkuu, manake sikuwahi kudhani kama mtu anaweza kutembelea reservation list ya hotel na kujua mgeni anafika lini and everything...kazi ni kazi.

Sio wa Corner bar mzee hao wameenda shule si ajabu ukakuta ana Phd...usicheze na fani za watu katika nchi za watu.
 
duh una moyo unauliza mko pamoja unajibu kwa mbwembwe YES ilhali humjui kha!!! anyway thanx for tahadhari

no no no no,hukunielewa,aliuliza receptionist..............akajibu Cassie kwa kudakia YES! which at the material tym it was true,something which i so desisted to deny.
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom