Mambali ndio fatuma mwenyewe
Mjini hapa shtukeni
long time kitaaaaambo hapa ndani hii kitu
Mbona hii ya kitambo sana humu mkuu?
muongo fatuma jina lake la uwongo tigo pesa amesajili Shamira Mhidini
Aisee, We mmbbayya! Ina maana ulimtumia pesa? Dahh!
Wasalimie Mori bar sinzahalafu hii alileta mwanume
namjua huyo dada anaitwa
Shamira Muhidini
ni mkali