Machache tukumbushane wana MMU

miss chagga

JF-Expert Member
Jun 7, 2013
57,821
48,973
Habari zenu wana MM. mie mzima sana aiseee.

Leo naona tukumbushane mambo machache tu katika mahusiano japo yapo mengi. Mahusiano hasa yanayohusisha mapenzi huwa yanachangamoto zake na mazuri pia, katika mahusiano kila mmoja anawaza mazuri hasa mwanzoni ila kadri yanavyokuwa ndipo tunavyoona ubaya zaidi kuliko mazuri. Sasa kuna mambo machche ya kuzingatia ili muendelee kuwepo na zingatia mwenzi wako si malaika……….
  • Jua katika mahusiano yoyote kuna nafsi tatu mimi, wewe na sisi na ni muhimu kuzingatia hizi nafsi na huwa hazifi baada ya kuwa pamoja .. jua huyo uliye naye yeye kama yeye hafi kama anatabia zake za uchoyo za kurithi hazipotei eti kwa sababu upo naye hapana … ila lazima makae chini kila mmoja ajitambue kwa nafasi yake na mambo yake na yale ya sisi muyatafute pole pole, mengine mnaweza kuadopt yale mazuri na kufanyia kazi .. ila kuna vitu havifi hasa tabia ya mtu..ndiyo maana zamani wazee walikuwa wanachunguza kwanza kabla ya kuoa na zaidi kuoa au kuolewa na wa karibu….

Ila sisi wa karne wa kimjini mjini uinabidi tujiongeze na mambo mengi tunakutana nayo ndani ya ndoa na mnataka kuwasha moto jipeni muda jitafakarini,

  • Tujitahidi kuweka ego zetu pembeni (nimekosa neno la Kiswahili ) kiasi Fulani ili kuwekana sawa na kupunguza misuguano hasa mmoja kujiona anadharaulika .. kuna watu hujiona bora kuliko mwingine ila huleta shida sana na kumfanya mwenzio ajione mdhaifu kwa mwenzie…. Oooh sijui familia yangu ndiyo ina hela kwa nini niteseke kumbuka hata wao walipitia changamoto nyingi…. Ooh mi ndiyo namuweka mjini nilimkuta hana kitu sasa ulitaka nani amuweke mjini wakati upo naye ndani?
  • Yape kipaomble mambo ya kawaida yanayowaweka pamoja mfano watoto, maendeleo ya familia (pesa, yale mazito wekeni pembeni huku mkitafutia ufumbuzi pole pole jua kuwa mmekutana huko na hamjalelewa na mzazi mmoja kwa hiyo lazima mtafika mahali muende tofauti. Kama likitokea zito hasa sijui tabia ya mwenzio jaribu kutafuta ufumbuzi na si kurushiana maneno yanayoweza kuleta maafa. Na pia tusitegemee mabadiliko ya haraka
  • Tujifunze kupuuza na kuchukulia mambo rahisi hasa yale yanayoweza kukuumiza, tafuta majibu mepesi mfano unapiga simu mara mbili hapokei assume kuwa katoa mlio au kaweka kwenye chaji au yupo mbali na simu na endelea na mambo mengine.. epuka mawazo hasi kwamba atakuwa na demu huyu au atakuwa na mwanume noooooooooooo mbaya sana ,.. sababu ni mawazao ambayo yatakufanya ukose raha na kujilaumu …
  • Tafute mazuri zaidi ya ubaya kwa wenzetu tatizoni kwamba tunakimbizana na mabaya weeee usiku na mchana , wengi tuanaka kujua je anawasiliana na jinsia nyingine jibu ni ndiyo.. basi uzuri ufunike ubaya.. si nikifanya zuri unakaa kimya tuuu nikifanya baya basi nitajuta mwaka mzima ndiyo wimbo.

  • Tusiwe na majibu kabla ya kuuliza.. unakuta mtu baby ulikuwa na nani au ulikuwa wapi unapewa jibu unakataa sasa umeuliza ili iweje ? kama jibu unalo… tupunguze lawama na tuwe na kauli nzuri ya kuongea na wenzetu..

NB: penda kuweka malengo ya mahusiano yenu labda baada ya mwaka au miaka kumi ijayo mnataka muweje,? Familia yako iwe wapi?, maendeleo ya familia yako yaweje ? na haya mnajiuliza pamoja .. kama mchumba au wapenzi tu mnaulizana kuanzia mwanzo.. wekaneni wazi , ukweli unauma ila ni mzuri...

kwa wale amabo hajafika mbali muache kufake jamani .. unakuta mwanamke anajifanya haombi hela au kujifanya mpole ili aolewe kumbe unapenda hela kama miss chagga ... tuwe real inasaidia bora kuachana mapema kuliko kuachana na mtoto yupo.. tunawatesa watoto..

Mary Christmas and happy new year 2017.
 
ya leo ni shidaaah, it is so amazing!!!! umenifurahisha ulivyofika mwisho ukatafuta kipengele cha pesa.

kweli miss chagga pesa iko kwa mutima wako kabisa.
 
From my experience don't get me wrong, watu wanaotoka kwenye single parent families wanakuwa so much attached to their parents, in a way they turn to forget about their love relationship, always mummy will come first.
BADO KUNA WATU WANADATE MIAKA HII?ACHANENI NA WANAUME ETI
 
Wengine ata hatutaki hay mahubiri. shida yetu tukishakipata kile kitikirinya basi roho zisharidhika. kwetu sisi mahusiano, mawazo na vyote vipo huko chini hatuna haja ya kujisumbua kama unasomea UE.
 
ha haha hiyo ni fikra za ujana jinsi unavyozidi kukua jua nguvu nazo hupungua ,, ile nayo muhimu
 
Relationship nyingine zina nafsi nne, mimi, wewe, sisi na ndugu zangu, hapo ni shida wakati mmoja wenu anashindwa kuelewe kuwa yuko kwenye mahusiano.
Hiyo ya "ndugu zangu", tena wa pande zote mbili. Hiyo ndio inafanya ndoa nyingi zisiwe ndoa, ziwe ndoa ndani ya ndoa zingine!!
 
From my experience don't get me wrong, watu wanaotoka kwenye single parent families wanakuwa so much attached to their parents, in a way they turn to forget about their love relationship, always mummy will come first.
One of the best observations dada sky. It's like one got married to the daughter and their mother
 
Back
Top Bottom