Machache kuhusu vyuo vya SAUT na UDSM

Pamoja na elimu yangu ya darasa la saba,Law mtu yeyote anaweza graduate mwenye vigezo vya kusoma hiyo course iwe ni sauti ama wapi etc(my opinion)Ila kuja kuwa kama Chenge, sijui prof Ravji ,Kale kajamaa ka Arusha kembamba Albati kama sikosei,Masumbuko Lamwai naona kama ni kipaji binafsi hivii(Individual Talent)Mimi mwenyewe bush Lawyer huwa najitetea mwenyewe mahakamani na siyo Tanzania(its just a talent mzee na kupenda kile unachofanya)Sijui hata kama nimeongea point.....werevaaaaaa
Du!!!!drs la 7 wa sasa wako moto xana,nawapongeza walim wa xhule za msing kwa kutoa intelligent student ka ww mkuu
 
Back
Top Bottom