Mac PC's fore sale!! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mac PC's fore sale!!

Discussion in 'Matangazo madogo' started by mchajikobe, Oct 9, 2010.

 1. m

  mchajikobe JF-Expert Member

  #1
  Oct 9, 2010
  Joined: Aug 14, 2009
  Messages: 2,384
  Likes Received: 664
  Trophy Points: 280
  [ 20052010.jpg Mac.jpg 20052010.jpg Mac.jpg


  Ndugu wadau wa JF kama kuna yeyote anayehitaji apple machines,zipo mpya kutoka UK,za kisasa with wireless mouse & keyboard.Kwa mawasiliano zaidi piga No:0713-535430,0787-535430 au 0774-535430!!
   
 2. BabaDesi

  BabaDesi JF-Expert Member

  #2
  Oct 9, 2010
  Joined: Jun 30, 2007
  Messages: 2,793
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 145
  ...Kwa picha nne ulizobandika hapo ungeweza kuweka picha bora zaidi zinazoonyesha zilivyo computer unazouza e.g Monitors, Keyboard na kadhalika. Hapo mi naona ka-screen tu na maandishi ambayo sijui ndio yapo katika hako ka-screen?
   
 3. mfianchi

  mfianchi JF-Expert Member

  #3
  Oct 9, 2010
  Joined: Jul 1, 2009
  Messages: 7,940
  Likes Received: 1,498
  Trophy Points: 280
  Jamani si uweke na specs zake na bei yake,sasa mpaka tukupigie simu?ukisema bei yake na specs zake sio dhambi
   
 4. mfianchi

  mfianchi JF-Expert Member

  #4
  Oct 9, 2010
  Joined: Jul 1, 2009
  Messages: 7,940
  Likes Received: 1,498
  Trophy Points: 280
 5. Amoeba

  Amoeba JF-Expert Member

  #5
  Oct 10, 2010
  Joined: Aug 20, 2009
  Messages: 3,328
  Likes Received: 93
  Trophy Points: 0
  Hiyo ndiyo iMac mzee, kama ameshasema MPYA hawezi kukuuzia bila keyboard na mouse (KeyBoard pekee unaweza lipa 150,000!!). Anatakiwa kuweka bei tu! Nadhani haitapungua 2M!
   
 6. m

  mchajikobe JF-Expert Member

  #6
  Oct 10, 2010
  Joined: Aug 14, 2009
  Messages: 2,384
  Likes Received: 664
  Trophy Points: 280
  Bei yake ni $2300,lkn pungufu maelewano!!!
   
 7. bwegebwege

  bwegebwege JF-Expert Member

  #7
  Oct 10, 2010
  Joined: Jul 30, 2010
  Messages: 1,031
  Likes Received: 13
  Trophy Points: 135
  You are not serious!!
   
 8. Amoeba

  Amoeba JF-Expert Member

  #8
  Oct 13, 2010
  Joined: Aug 20, 2009
  Messages: 3,328
  Likes Received: 93
  Trophy Points: 0
  We bwegebwege, unatakauuziwe pesangapi? 500,000/=!:wink2:
   
 9. Utingo

  Utingo JF-Expert Member

  #9
  Oct 13, 2010
  Joined: Dec 15, 2009
  Messages: 7,121
  Likes Received: 184
  Trophy Points: 160
  mkuu msamehe bure lada anadhani mac ni kama compaq au Acer
   
 10. Da Womanizer

  Da Womanizer JF-Expert Member

  #10
  Oct 13, 2010
  Joined: May 24, 2010
  Messages: 1,561
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 135
  Jina lenyewe bwegebwege unategemea nini hapo?
   
 11. Amoeba

  Amoeba JF-Expert Member

  #11
  Oct 13, 2010
  Joined: Aug 20, 2009
  Messages: 3,328
  Likes Received: 93
  Trophy Points: 0
  lol!
   
 12. Bado Niponipo

  Bado Niponipo JF-Expert Member

  #12
  Oct 17, 2010
  Joined: Aug 15, 2008
  Messages: 680
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 35
  You buy the same machine in Dar for $ 1500 - $1700 pale seacliff village na shoppers house, wakuu muwe mnaenda nyumbani at least mara moja kwa two years kupata updates.
   
 13. mfianchi

  mfianchi JF-Expert Member

  #13
  Oct 17, 2010
  Joined: Jul 1, 2009
  Messages: 7,940
  Likes Received: 1,498
  Trophy Points: 280
  Baelezee bandugu,wanafikiri huenda wabongo ni hamnazo,siku hizi Bongo ni kama majuu vile hakuna anayedanganyika,kila kitu kipo hapa hapa Bongo ,ni pesa yako tu.Ni kweli kama watu mko majuu jaribuni kuulizia kwa jamaa zenu hali halisi ya mambo yanavyoenda hapa Bongo kwa wala vumbi
   
Loading...