Mabweni ya wasichana kuchomwa moto... ???

Mzee Mwanakijiji

Platinum Member
Mar 10, 2006
33,475
39,987
Ilianzia Shauritanga... sasa naona kuna kitu kinazidi;

a. Majuzi mabweni yameungua huko Kagera
b. Mwaka huu mabweni yameungua Shule ya Wasichana huko Kilimanjaro
c. Wiki hii mabweni ya wasichana yameungua Bigwa
d. Leo mabweni yameungua huko Mlingano..
e. Na pia kuungua kwa mabweni ya wanafunsi Junior Seminary Morogoro mwaka huu huu..

Hivi kwanini mabweni ya wanafunzi yana mikosi hivyo?
 
1.Wanapasi sana na hizi pasi zinaishilia kuleta matatizo.
2.Shoti za umeme pale ambapo msichana anajifanya fundi then resulting to a catastrophe.
3.Mishumaa pale ambapo usongo unapozidi.
4.Wivu - This a personal experience from a friend ambaye alikuwa anasoma Marangu Secondary wakati shule hii mabweni manne ya Wasichana yaliteketea moto na msichana mmoja, Brenda Kisamo ( May Her Soul Rest In Peace) aliteketea moto ambapo niliambiwa ni wavulana wa kijijini walikuwa wanaonea wivu boys wa Marangu Secondary hivyo kuteketeza moto ili kuwakomoa.
5.Kukomoa uongozi wa shule pale ambapo unazidi kuwa wanoko.na wafuatiliaji sana.
6.Hofu ya mitihani ikiwa kama njia moja wapo ya kukwepa mitihani.
 
Tena ya wanafunzi wasichana tu?
 
Tena ya wanafunzi wasichana tu?

Tatizo letu kwenye mambo mengi hatuendi kwenye chanzo ila tunatibu dalili. Kwenye matukio mengi ya aina hii zitaundwa kamati lakini sidhani kama uchunguzi wao unakuwa makini na hatua zinazopaswa kuchukuliwa.
 
Hapo nitakubaliana nawe maana from what I have posted above as possible causes za hizi fires jiyo shule ya Marangu Secondary iliundiwa Kamati and nothing fruitful came out of it.
Their scapegoat ilikuwa shoti ya umeme which was doubted by the students and even the school administration!
 
True, sasa kama ni shoti ya umeme vile vile unaweza kuwa na sababu may be earthing sio nzuri, au waya zilitumika kufanya wiring sio za standard inayokubaliba au zimechoka etc ....Namaanisha lazima kuna chanzo na sababu kwa sababu kuna chanzo lazima kuna solution yake.

The same issue kama hiyo ilijirudia kwenye issue ya maghorofa Dar es Salaam, Lowassa alikuja moto kuunda kamati na mambo kedekede wakati wa ajali ya Chang'ombe lakini ni juzi juzi tu hapa ajali nyingine imetokea hapo maeneo ya kisutu....sasa hapo unajiuliza progress ipo wapi tunaishia kupiga marktime tu kwenye mambo yale yale day in day out.
 
1.Wanapasi sana na hizi pasi zinaishilia kuleta matatizo.
2.Shoti za umeme pale ambapo msichana anajifanya fundi then resulting to a catastrophe.
3.Mishumaa pale ambapo usongo unapozidi.
4.Wivu - This a personal experience from a friend ambaye alikuwa anasoma Marangu Secondary wakati shule hii mabweni manne ya Wasichana yaliteketea moto na msichana mmoja, Brenda Kisamo ( May Her Soul Rest In Peace) aliteketea moto ambapo niliambiwa ni wavulana wa kijijini walikuwa wanaonea wivu boys wa Marangu Secondary hivyo kuteketeza moto ili kuwakomoa.
5.Kukomoa uongozi wa shule pale ambapo unazidi kuwa wanoko.na wafuatiliaji sana.
6.Hofu ya mitihani ikiwa kama njia moja wapo ya kukwepa mitihani.

6. Walimu kuondolewa shule husika hivyo kulipiza kisasi.
7. Migongano ya baadhi ya viongozi kwenye eneo la maslahi.

Sent from my Infinix X688B using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom