Mzee Mwanakijiji
Platinum Member
- Mar 10, 2006
- 33,695
- 40,721
Ilianzia Shauritanga... sasa naona kuna kitu kinazidi;
a. Majuzi mabweni yameungua huko Kagera
b. Mwaka huu mabweni yameungua Shule ya Wasichana huko Kilimanjaro
c. Wiki hii mabweni ya wasichana yameungua Bigwa
d. Leo mabweni yameungua huko Mlingano..
e. Na pia kuungua kwa mabweni ya wanafunsi Junior Seminary Morogoro mwaka huu huu..
Hivi kwanini mabweni ya wanafunzi yana mikosi hivyo?