Mabwawa ya Tanga kuwa na mamba

Hassan Mambosasa

Verified Member
Joined
Aug 2, 2014
Messages
2,166
Points
2,000

Hassan Mambosasa

Verified Member
Joined Aug 2, 2014
2,166 2,000
Kwa Mfano Kange au maweni kama sijakosea kuna bwawa lina mamba wa kutosha tu ila hawa walibebwa na maji wakati wa mafuriko. Walikua wanafugwa kiwanda cha Rhyno mvua ilipokua kubwa kuta za bwawa lao hapo kiwandani zikapasuka na mamba wakabebwa mpaka huko maweni ambako sasa wameanza kuwa kero na wanakijiji wameshatoa taarifa kwa maliasili ila hamna hatua zinazochukuliwa na ukitegemea hilo eneo mamba walilopo ni eneo linalotumika kwa shughuli za kilimo na ni njia pia ya wanafunzi wakiwa wanaenda mashuleni.
Na kero yao mpaka leo haijatatuliwa
 
Hassan Mambosasa

Verified Member
Joined
Aug 2, 2014
Messages
2,166
Points
2,000

Hassan Mambosasa

Verified Member
Joined Aug 2, 2014
2,166 2,000
Acha ubishi si Wilaya rasmi kimamlaka lakini Pongwe, Pande, Rubawa,Kibafuta na maeneo tajwa hapo juu zinatambulika hivyo....hata anuani zake ni Tanga 'V'.

Chunguza lakini......
Au siyo rasmi na baadhi ya wizara wanaitambua hata kwenye ugawaji wa shule hizo wilaya zinahesabika siyo
 
Hassan Mambosasa

Verified Member
Joined
Aug 2, 2014
Messages
2,166
Points
2,000

Hassan Mambosasa

Verified Member
Joined Aug 2, 2014
2,166 2,000
Kwa Mfano Kange au maweni kama sijakosea kuna bwawa lina mamba wa kutosha tu ila hawa walibebwa na maji wakati wa mafuriko. Walikua wanafugwa kiwanda cha Rhyno mvua ilipokua kubwa kuta za bwawa lao hapo kiwandani zikapasuka na mamba wakabebwa mpaka huko maweni ambako sasa wameanza kuwa kero na wanakijiji wameshatoa taarifa kwa maliasili ila hamna hatua zinazochukuliwa na ukitegemea hilo eneo mamba walilopo ni eneo linalotumika kwa shughuli za kilimo na ni njia pia ya wanafunzi wakiwa wanaenda mashuleni.
Maisha ya vijijini Tanga wanategemea sana Mabwawa kwa ajili ya maji, jambo hili wanajikuta wakiangamia siku hadi siku kisa wingi wa Mamba humo mabwawani.

Mfano kuna eneo linaitwa Ndaoya lipo njiia ya kwenda Chongoleani, kutoka hapo kuna eneo fulani hivi ukienda kuna bwawa na mashimo. Yaani hivi sasa imefikia kila shimo lina Mamba.

Kule watu wanateka maji kwenye vidibwi vidogo vya chemchem ambavyo wanaita visima, yaani hayohayo ndiyo wanakunywa na kufanyia shughuli zingine pia. Mabwawani hakufai
 
Forum statistics

Threads 1,343,528
Members 515,077
Posts 32,787,630
Top