Mabwabwa yakifunga ndoa nchini South Africa

Herbalist Dr MziziMkavu

JF-Expert Member
Feb 3, 2009
42,268
33,040
431941_450234051728260_2076446508_n.jpg

EWE MWENYEEZI MUNGU NDOA KAM HIZI UTUEPUSHE INSHALLAH ZISIJE HAPO KWETU TANZANIA SEMENI AMEEN.
 
Tujiepushe nazo maana tushapewa akili tuzitumie.sio kumlilia mungu kipuuzi puuzi.
 
Na huyo anayefungisha ndoa anatumia biblia.??? Lord have mercy on us....I can see it coming
 
Uzuri rais wetu alishakataa hayo na akaenda mbali mpaka kuwa tayari kunyimwa misaada lakini hatutakuwa tayari kuruhusu ujinga huo hapa kwetu tz
 
Acheni zenu nyie kwani nan alsema mwanamke lazma ailewe na mwanaume? Achen kila mtu aish maisha anayohis n sahihi kwake,ubwabwa wake yy ww kinakuwasha nn? Au ndo Roho inauma mwataka ihalalishwe na hapa ili na nyie muanze vigaawa?
 
Mkuu lazima utakuwa na matatizo ya kisaikologia,siyo bure!
 
Acheni zenu nyie kwani nan alsema mwanamke lazma ailewe na mwanaume? Achen kila mtu aish maisha anayohis n sahihi kwake,ubwabwa wake yy ww kinakuwasha nn? Au ndo Roho inauma mwataka ihalalishwe na hapa ili na nyie muanze vigaawa?

Hata kama ndo uhuru wa kutoa mawazo... naomba uniruhusu nikutilie mashaka..
 
2 Reactions
Reply
Back
Top Bottom