Herbalist Dr MziziMkavu
JF-Expert Member
- Feb 3, 2009
- 42,316
- 33,112
EWE MWENYEEZI MUNGU NDOA KAM HIZI UTUEPUSHE INSHALLAH ZISIJE HAPO KWETU TANZANIA SEMENI AMEEN.
Wanawake wote nyie mupo wazuri Midume ikaoane wenyewe kwa wenyewe ahhh? Wanawake hakuna kwani?Dah Mungu epushia mbali hii kitu
unaweza kutumia akili kumbadilisha shoga?Tujiepushe nazo maana tushapewa akili tuzitumie.sio kumlilia mungu kipuuzi puuzi.
Mwisho wa dunia umefika!Mbaya sana
Mkuu lazima utakuwa na matatizo ya kisaikologia,siyo bure!Acheni zenu nyie kwani nan alsema mwanamke lazma ailewe na mwanaume? Achen kila mtu aish maisha anayohis n sahihi kwake,ubwabwa wake yy ww kinakuwasha nn? Au ndo Roho inauma mwataka ihalalishwe na hapa ili na nyie muanze vigaawa?
Acheni zenu nyie kwani nan alsema mwanamke lazma ailewe na mwanaume? Achen kila mtu aish maisha anayohis n sahihi kwake,ubwabwa wake yy ww kinakuwasha nn? Au ndo Roho inauma mwataka ihalalishwe na hapa ili na nyie muanze vigaawa?
Mkuu hapa duniani kuna watu na viatu!Hata kama ndo uhuru wa kutoa mawazo... naomba uniruhusu nikutilie mashaka..
Anajaribu kutuonyesha alichobeba kichwani!Hapo ndo roho yako imesuuzika!?
Achana na rais,ukweli ni kwamba mila na desturi za watanzania haziruhusu huu ujinga!Uzuri rais wetu alishakataa hayo na akaenda mbali mpaka kuwa tayari kunyimwa misaada lakini hatutakuwa tayari kuruhusu ujinga huo hapa kwetu tz
Mkuu unanitisha,inamaana haya mambo unaunga mkono?hawa wamekomaa wote damn hata hawanogi..