Mabucha ya Nyama Pori

Nikiendaga kijijini kwetu ndo tunaenda kuwinda swale,nguruwe pori na kware

♡♤Life belongs to all who struggle for it♤♡♧
 
Kwa taarifa yako epuka sana nyama pori. Mara nyingi magonjwa ya mlipulo hutoka kwa hao Viumbe rejea Ebola, Corona nk nk
Inahitaji umakini wa hali ya juu siyo utani hiyo
Kwani huwezi kwenda na Dakitali wa mifugo?
 
Hata mimi nilisikia hii...

Ila changamoto yake ni kubwa... Sababu nyama pori bei ipo juu kidogo...



Cc: mahondaw
 
Back
Top Bottom