MaBoss Wetu na Uongozi wao

Ndikwega

R I P
Feb 1, 2012
5,979
5,524
Nimefungua Uzi huu Mahsusi kwa ajili ya Kujadili na Kujadili baadhi ya Changamoto za Maboss wetu hususani wa Afrika.

Yeyote uliwahi ama unapitia na Kukumbwa na Uonevu ama Kusingiziwa na Maboss aidha kwa kuamua wenyewe ama Kulishwa Majungu na Wale Watu ambao siyo wazuri kwako. Tunaomba pia utusaidie jinsi ya Kuishi naye hivyo hivyo.

Hii ni kwa Wote waajiriwa wa Serikali ama Sekta Binafsi. Karibuni saana.
 
Binafsi niliwahi itwa Ofisini Kwa Boss na Kuambiwa eti kwanini nimemdharau wakati hata sijawahi Kuwaza Kumdharau.

Kumbe Taarifa alizopeleka PS wake jinsi ya Kuziwasilisha kaziwasilisha sivyo Kabisa. Kiukweli niliharibiwa siku nzima, nikawaza saana ila nikawasamehe wote Mungu ndiye anajua ya Moyo wangu.

Kwa Upande wa Boss nikajua ni Inferiority Complex maana ni Mwanamke, ila PS nikajua Elimu yake Ndogo na Kakosa hekima namna ya Kuwasilisha Jambo kwa Boss wake.
 
Hao masekretari hao, mmoja alinifanya niache kibarua kwa ghafla ingawa bosi ndo alikuwa mzinguaji kupindukia! Na mimi alisema nimemdharau wakati hatujawahi hata kusalimiana(ndo alikuwa amehamia tu).
 
Daah, pole saana Mkuu!
Huyu wa Kwangu wa Serikalini na najua hana la kunifanya maana ni kama tu Supervisor wangu. Ila alinikera saana maana alifura Jambo ambalo kabisa anajua tumekuwa wote muda mredu kidogo sijawahi fanya hivyo. Yeye Kapanic balaa.
 
Back
Top Bottom