Nyalotsi
JF-Expert Member
- Jul 20, 2011
- 6,978
- 5,025
Kuna mwanafunzi yupo kwenye mtihani wa biology muda huu saa 9 na robo amenitumia maswali nimsaidie, amedai waliruhusiwa kuingia na simu na msimamizi wao. Hivi hawa ni wasomi wajao, au tuna mpango wa kujilipua wenyewe? Au wanatekeleza ilani ya magamba ili ionekane watu wanafaulu