mabomu yatumika kutawanya mandamano ya CUF

IslamTZ

JF-Expert Member
Nov 22, 2010
309
182
Vyanzo vya habari kadhaa vyaarifu kuwa risasi za moto na mabomu zimetumika katika kutawanya maandamano ya CUF mitaa ya Buguruni hali haikuwa shwari asubuhi hii.
 
sasa mbona wanajibishia wenyewe? kwani wao si wako ndani ya serikali? sasa mbona wanatuchanganya?....anyway....ngoja wapigwe virungu...
....na bado....
 
Baada ya kushindwa kupambana na polisi, Cuf wameamua kuingia mitaani kwa vikundi vidogo vidogo na kuandamana kimafungu.
 
sasa mbona wanajibishia wenyewe? kwani wao si wako ndani ya serikali? sasa mbona wanatuchanganya?....anyway....ngoja wapigwe virungu...
....na bado....

Acha kushabikia watanzania wenzako kupigwa virungu, kwasababu kuandamana ni haki yao ya msingi. Sie wananchi ndio tutapima na kujua je hayo maandamano ni ya msingi au La!



 
Vyanzo vya habari kadhaa vyaarifu kuwa risasi za moto na mabomu zimetumika katika kutawanya maandamano ya CUF mitaa ya Buguruni hali haikuwa shwari asubuhi hii.

Amanibaraka vipi hujawasuruhisha hao Mume na Mke?
AAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAA CCM acha kupiga Mkeo. Aibu hiyo, mbona mmeoana hivi karibuni vipi hakumsomana vizuri tabia?
 
Wanadai nini? Si waziri wao mkuu ameshasema aramshauri rais wao? Au wanacheza mchezo wa kuigiza kushirikiana na polisi ili wadhaniwe kwambanao ni wapinzani. Kwani mbona sababu alizotoa kova kuzuia hayo maandamano ni za kitoto?
 
Blaza Kova hana mchezo, mkijidai nyie ni magwiji wa kudai katiba mnaweza mkajikuta mnaikosa na kuishia kaburini
 
Wana JF,

Wajua huwa naijiuliza hivi Jeshi la Police nani huwa anawapa kiburi cha kuamua maamuzi? Kwanini ansema hayo

Majuzi uko Arusha CDM walikataliwa maandamano ya kupinga Mayor wa Arusha na sababu zilizo tolewa na Police ni kuwa CDM hawakupeleka taarifa za Maanadamano ndani ya Masaaa 48, na wakasema kwa ajiri ya usalama ni bora kutoa taarifa mapema.ila waandamanao wapewe ulinzi wa kutosha.

CUF walitoa barua kwa police tarehe 21 Dec 2010 kuwa watakuwa na maandamano ya kutoa mapendekezo yao ya katiba mpya sasa sielewi Police wetu hawa wao wanachopinga nacho ni nini na wanachokitaka ni nini au wao ni kufuata order toka kwa wakubwa hivi Katiba haitawahusu wao au?

Inamaana Police yetu haina watu wa kukaa na kutathimini kuwa ni nini kifanyike sasa na nini kisifanyike au wao ni kukurupuka tuu na kupewa order sishangai Jeshi la police kuwa linadharauliwa kihasi hiki wao wamekuwa wa kuambiwa tuu basi na kutii.

Sasa hapa watuambie walikuwa hwajajiandaa kiusalama napo au? Tanzania hii nani anataka kufanya vurugu kama maandamano yatakubaliwa kwa amani???? Police ndio chambo wa wakubwa na kuchochea vurugu hilo wasijaribu kuliepuka
 
Ni kweli risasi za rashasha zimetumika.
Source: TBC1 taarifa ya habari ya saa 7. Ila kama kawaida yao picha hazikuonekana licha ya mtangazaji kusema 'tupate taarifa zaidi'
 
Mambo ya wana ndoa hayo tusiyaingilie. Lipumba hakuwepo wala Maalim Seif hakuwepo!!!! Waliweka chambo chao ;;; Kafiri Julius ndio aongoze maandamano!!!
 
Hii inazidi kufanya wanachi nwaichukie serikali ya ccm ukizingatia kuandamana ni haki ya MTZ
 
Back
Top Bottom