Mabomu Yanayotumika na tindi kali vinatoka Tanganyika

Mwiba

JF-Expert Member
Oct 23, 2007
7,607
1,744
Wadau kila nikipima na aliyoyasema yule Rukuvi mle kanisani kuwa Zanzibar ikiachiwa kujitenga itatumika na waislamu wenye siasa kali kuihujumu Tanganyika na hata kitakachoingizwa Tanganyika kitapitia Zanzibar akimaanisha silaha na vinginevyo (Ukiisikiliza kwa makini hotuba yake aliolihubiria kanisa).

Mabomu hayo ya kijeshi au kama wanavyoyaita ya kivita hivi yatatoka wapi ? Kama si Tanganyika .Tanganyika hakuna vita tukasema kuwa yanatoka vitani ,ila Jeshi lipo kwa maana hiyo mabomu hayo yanatoka Jeshini kama yanatoka vitani yatakuwa yametokea na kupitia hukohuko Tanganyika na zile bandari alizodai Rukuvi (bandari bubu) hazikutumika kama alivyodai yeye kuwa silaha zitatokea Zanzibar ila zimetoka Tanganyika na kutumia bandari hizo kupelekwa na kutumika Zanzibar.

Hivyo amani ya Zanzibar inatoweka kwa silaha na zana za kijeshi zinazotoka Tanganyika ,ujambazi wa kutumia silaha sasa ni jambo la kawaida Zanzibar ,mambo ambayo hayakuwepo ,leo hii Zanzibar ikiamua kudhibiti bandari zake iwe bandari bubu au zinazosema ,lazima WaTanganyika watabweka na kututisha pengine wakatufukuza katika mashamba tunayolima vitunguu.

Nilichokihisi ni Zanzibar kujipanga kwa kutumia majeshi yake ambavyo vinajulikana kama vikosi vya ulinzi kulinda mipaka yake na pia kuweka au kuzidisha lile hitaji la kuwa na kitambulisha kwa kila anaeingia Zanzibar na pia kwa wanaotembea wawe na ID zao mfukoni.Na pia kuweka roadBlocks ambazo zitatumika kikamilifu kumdai yeyote anaezipita aonyeshe kitambulisho iwe pasi au ID ya uraia.
 
Chuki chuki fitnah tupu. Kama silaha zinatoka Tanganyika ila wanunuzi na watumiaji ni wazanzibari watukufu.
 
Teh teh, nchi jirani kwa kulalamika hamjambo! Mkienda dodoma mnaufyata! Mkiwa huko visiwani, makelele meeengi!
 
Wadau kila nikipima na aliyoyasema yule Rukuvi mle kanisani kuwa Zanzibar ikiachiwa kujitenga itatumika na waislamu wenye siasa kali kuihujumu Tanganyika na hata kitakachoingizwa Tanganyika kitapitia Zanzibar akimaanisha silaha na vinginevyo (Ukiisikiliza kwa makini hotuba yake aliolihubiria kanisa).

Mabomu hayo ya kijeshi au kama wanavyoyaita ya kivita hivi yatatoka wapi ? Kama si Tanganyika .Tanganyika hakuna vita tukasema kuwa yanatoka vitani ,ila Jeshi lipo kwa maana hiyo mabomu hayo yanatoka Jeshini kama yanatoka vitani yatakuwa yametokea na kupitia hukohuko Tanganyika na zile bandari alizodai Rukuvi (bandari bubu) hazikutumika kama alivyodai yeye kuwa silaha zitatokea Zanzibar ila zimetoka Tanganyika na kutumia bandari hizo kupelekwa na kutumika Zanzibar.

Hivyo amani ya Zanzibar inatoweka kwa silaha na zana za kijeshi zinazotoka Tanganyika ,ujambazi wa kutumia silaha sasa ni jambo la kawaida Zanzibar ,mambo ambayo hayakuwepo ,leo hii Zanzibar ikiamua kudhibiti bandari zake iwe bandari bubu au zinazosema ,lazima WaTanganyika watabweka na kututisha pengine wakatufukuza katika mashamba tunayolima vitunguu.

Nilichokihisi ni Zanzibar kujipanga kwa kutumia majeshi yake ambavyo vinajulikana kama vikosi vya ulinzi kulinda mipaka yake na pia kuweka au kuzidisha lile hitaji la kuwa na kitambulisha kwa kila anaeingia Zanzibar na pia kwa wanaotembea wawe na ID zao mfukoni.Na pia kuweka roadBlocks ambazo zitatumika kikamilifu kumdai yeyote anaezipita aonyeshe kitambulisho iwe pasi au ID ya uraia.

May be, may be not! Ningekuwa mimi allegations za aina hii ninaweza kuthubutu kuziweka hadharani baada ya kuja na ushahidi tosha, kuthibitisha kuwa silaha zinatoka Tanganyika kwenda Zanzibar. Pia ingependeza walau kama ungekuwa na ushahidi mwingine wa kuonyesha ni Watanganyika wanaofanya hayo matukio huko Zenji. Vinginevyo hiki hapa ni uchochezi tu, uliojengwa kwa umbeya wa nguvu.

Utajisikiaje siku ukigundua kuwa silaha hizo hazikutoka Tanganyika? Au tuseme zilitoka Tanganyika, utajisikiaje ukija kugundua zilibebwa na wenzenu na kutumiwa nao? Utasemaje? Nadhani unatakiwa kutumia akili zaidi ya hapo!
 
Wadau kila nikipima na aliyoyasema yule Rukuvi mle kanisani kuwa Zanzibar ikiachiwa kujitenga itatumika na waislamu wenye siasa kali kuihujumu Tanganyika na hata kitakachoingizwa Tanganyika kitapitia Zanzibar akimaanisha silaha na vinginevyo (Ukiisikiliza kwa makini hotuba yake aliolihubiria kanisa).

Mabomu hayo ya kijeshi au kama wanavyoyaita ya kivita hivi yatatoka wapi ? Kama si Tanganyika .Tanganyika hakuna vita tukasema kuwa yanatoka vitani ,ila Jeshi lipo kwa maana hiyo mabomu hayo yanatoka Jeshini kama yanatoka vitani yatakuwa yametokea na kupitia hukohuko Tanganyika na zile bandari alizodai Rukuvi (bandari bubu) hazikutumika kama alivyodai yeye kuwa silaha zitatokea Zanzibar ila zimetoka Tanganyika na kutumia bandari hizo kupelekwa na kutumika Zanzibar.

Hivyo amani ya Zanzibar inatoweka kwa silaha na zana za kijeshi zinazotoka Tanganyika ,ujambazi wa kutumia silaha sasa ni jambo la kawaida Zanzibar ,mambo ambayo hayakuwepo ,leo hii Zanzibar ikiamua kudhibiti bandari zake iwe bandari bubu au zinazosema ,lazima WaTanganyika watabweka na kututisha pengine wakatufukuza katika mashamba tunayolima vitunguu.

Nilichokihisi ni Zanzibar kujipanga kwa kutumia majeshi yake ambavyo vinajulikana kama vikosi vya ulinzi kulinda mipaka yake na pia kuweka au kuzidisha lile hitaji la kuwa na kitambulisha kwa kila anaeingia Zanzibar na pia kwa wanaotembea wawe na ID zao mfukoni.Na pia kuweka roadBlocks ambazo zitatumika kikamilifu kumdai yeyote anaezipita aonyeshe kitambulisho iwe pasi au ID ya uraia.

Umehitimisha lakini hujatoa ushahidi
 
Bandugu, sio tindikali tu hata viazi mbatata mnavyotengenezea urojo vinatoka Tanganyika..Kwani mliambiwa kazi ya tindikali ni kumwagiana mwilini??
Unalaumu upinde na mshale badala ya kumlaumu aliyeufytua!!
 
Ushahidi uingiaji kwa njia ya bahari ni wa kutoka Tanganyika na hizo njia ni bahari tu ,na hakuna usafiri wa kutoka Kenya wala Comoro ,ni nyie nyie tu ,usalama kwenu ni sifuri na hili ndio tishio linalohatarisha Zanzibar.

Nani atapinga kuwa usalama ndani ya Tanganyika ni sifuri ?? Kuna polisi,usalama ,sungusungu nyenzo kibao lakini mchana kweupe kinanuka ! Siku Zanzibar ikifanikiwa kurudisha mamlaka yake kamili basi matukio ya ukatili yataanza kupungua na kudhibitiwa kabisa.
 
Tatizo lenu mkifika tu Dodoma mnapakatwa na wale kaka zenu kimyaa, mkiwa huko nga'mbo ndio mnapiga sana kelele ooh Tanganyika vile Tanganyika hivi.
 
Hao huku Zenji tunawaita mamluki ,kama wale ambao huko kwenu walikuwepo wakiwakamata na kuja kuwauza soko la Unguja ,aafu hao wanaopakatwa ambao wengine wamepaka wanja kama wanaopungwa mashetani ni kutoka CCM wengi wao wana asili ya msumbiji.Hawana uchungu na Zanzibar kama hupendi kuwaita mamluki basi unaweza kuwaita mapandikizi nyie huko ndio mmewapandikiza na mnawatumia kuikandamiza Zanzibar,
 
Nawe umejipima ukajiona ni Great thinker sio? Pole sana umepotea njia fitna hazina nafasi mtukufu
 
Ushahidi uingiaji kwa njia ya bahari ni wa kutoka Tanganyika na hizo njia ni bahari tu ,na hakuna usafiri wa kutoka Kenya wala Comoro ,ni nyie nyie tu ,usalama kwenu ni sifuri na hili ndio tishio linalohatarisha Zanzibar.

Nani atapinga kuwa usalama ndani ya Tanganyika ni sifuri ?? Kuna polisi,usalama ,sungusungu nyenzo kibao lakini mchana kweupe kinanuka ! Siku Zanzibar ikifanikiwa kurudisha mamlaka yake kamili basi matukio ya ukatili yataanza kupungua na kudhibitiwa kabisa.

Watu wanaingia Zanzibar na Tanganyika kwa majahazi acha uongo mkuu, vyombo vya ulinzi wa bahari pande zote 2 ni hovyo.
 
Naona umevurugwa ,nilisema kwa kutuma njia ya bahari ,sasa kama kuna gari hayo unafikiri wewe ,ulinzi wa bandari na viwanja vya ndege ni WaTanganyika ndio wanaohusika ,sasa ule uoza ulioko huko ndio tulioletewa hapa ,masikini kama mimi watanisachi na kunipekuwa kila pembe ,siku moja katika kunisachi nilipandisha hasira nikawa navua nguo zote ili wasachi uzuri,waliniomba samahani na kunizuia ,ilikuwa uwanja wa ndege na watu kibao walishuhudia nikitokea Pemba.
Ila kama umevaa suti na ukawatupia shilingi elfu basi wanakuachia na mizigo watakubebea ,jinsi walivyokuwa na njaa ,saa wanaopitisha silaha na kupita nazo wanaachia hela ,ila wazalendo wa kizenji si rahisi kupokea hela tatizo ,sehemu zote za bandari na viwanja vya ndege asilimia kubwa ni machogo ,hela ndogo wanakuachia !
 
Back
Top Bottom