Mabomu yanalipuka Shinyanga mjini

Aisee mbona umesepa na taarifa haijatulia.....au umeathirika na mabomu.
 
taarifa nusunusu zinakera, kwa hiyo ulipoona mabomu tu ukaamua kuandika hujui hata chanzo wala mkasa.
tupe habari kamili na picha ikiwezekana pengine ingesaidia kueleza jambo kama wewe hukuweza kuandika mambo mengi.
 
Wewe "mwangaluka bhabha"hebu tupe habari kamili! Mabomu!mabomu! Vip yanauzwa! Kama viazi nije nilangue!
 
sababu.. wamachinga kuhamishwa eneo la biashara 'TOWN XUL' hivyo leo wakaandamana kupinga uamuzi huo.. ILLEGAL DEMO!!
 
siku hizi mabomu imekuwa fasheni, nadhani serikali inawapa wabongo kozi ya kuzoea mabomu taratibu
 
Baadhi ya picha..

shinyanga 1.jpg


shinyanga 2.jpg


shinyanga 3.jpg


shinyanga 4.jpg


shinyanga 5.jpg
 
daaaa sasa hajira hamna jamani maisha kila cku iendayo kwa mungu yanazidi kupanda bei unadhani vijana watajikomboa vp kwenye swala hili zito la umaskini mimi nadhani tungekaaa chini kulifilia swala hili kwa undani zaidi ili kujua jinsi ya kusaidia vijana hawa
 
Back
Top Bottom