Mabomu ya machozi yarindima Mbeya | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mabomu ya machozi yarindima Mbeya

Discussion in 'Uchaguzi Tanzania' started by Whisper, Nov 2, 2010.

 1. Whisper

  Whisper JF-Expert Member

  #1
  Nov 2, 2010
  Joined: Jun 2, 2009
  Messages: 502
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 35
  Baada ya aliyekuwa mbunge wa Mby vijijini kwa tiketi ya CCM ndg. Mwanjali kukataa kusaini matokeo ya uchaguzi kwa zaidi ya masaa 24 sasa, wananchi waliamua kwenda nyumbani kwake eneo la Iwambi kumshinikiza atoke na kwenda kusaini la sivyo wangechoma moto nyumba yake. Mbunge huyo aliomba msaada polisi na na wale jamaa ambao wana vazi jipya (robotic dress) walifika na kufyatua tear gases. wananchi waliamua kukodi mabasi na kwenda Mbeya mjini ambapo ndipo ilipo ofisi ya mkurugenzi wa halmashauri mby (v) na kumwambia wamechoka kuahirisha mlipko wa furaha yao. kama ilivyokuwa Iwambi, mkurugenzi aliwaita FFU ambao walikuja na kusababisha mtafaruku mkubwa, maana mji mzima ulirindima kwa mabomu ya machozi.

  Ninafikiri kwa presha hii, jamaa watafungulia shangwe ya NGUVU YA UMMA.
   
 2. Gosbertgoodluck

  Gosbertgoodluck JF-Expert Member

  #2
  Nov 2, 2010
  Joined: Mar 3, 2008
  Messages: 2,866
  Likes Received: 26
  Trophy Points: 0
  Kwa hiyo unataka kutuambia kwamba Mgombea wa Chadema anaelekea kushinda??? Tupatie taarifa tafadhali.
   
 3. PakaJimmy

  PakaJimmy JF-Expert Member

  #3
  Nov 2, 2010
  Joined: Apr 29, 2009
  Messages: 16,236
  Likes Received: 309
  Trophy Points: 180
  At least wewe unaeleza the prevailing situation....
   
Loading...