Kaizer
Platinum Member
- Sep 16, 2008
- 25,320
- 17,822
kwa mujibu wa taarifa ya star tV sasa hivi, manispaa ya kigoma ujiji mabomu ya machozi yamepigwa, (na possibly risasi za moto) kuwatawanya wafuasi wa chadema waliokuwa wanashinikiza matokeo yatangazwe. chadema wamekamata udiwani kata 6 na CCM 5...
wananchi wamepiga magoti chini na kuinua mikono juu....HALI SI SHWARI...:sad:
Nina wasi wasi kama hali ndo hii, huko Nyamagana na Arusha itakuwaje?
kwa waliopo kwenye ground watujuze zaidi
wananchi wamepiga magoti chini na kuinua mikono juu....HALI SI SHWARI...:sad:
Nina wasi wasi kama hali ndo hii, huko Nyamagana na Arusha itakuwaje?
kwa waliopo kwenye ground watujuze zaidi