Mabomu ya machozi, vifaru,ffu,farasi,majiyakuwasha vimeshindwa na nguvu ya umma.

politiki

JF-Expert Member
Sep 2, 2010
2,376
1,507
Vijana wa tanzania saa ya ukombozi imefika tuungane tuingie kazini
kwa ajili yetu na vizazi vijavyo kwani tuna kila sababu ya kuipinga
serikali ya kiukandamizaji kwani sisi tuna hali mbaya kuliko misri
kiuchumi na kijamii. Wamisri wengi walikuwa wanalalamikia rushwa,
ajira, ufisadi uliokithiri, mambo ambayo ndio yaleyale watanzania
tumekuwa tunaathirika nayo. Kwahiyo vijana tujipange tuingie kazini
wakati wa kukaa pembeni na kulalamika wakati wenzako wanakula
nchi umekwisha. Tusiogope mabomu ya machozi, vifaru wala ffu kwani
misri walikuwa navyo mara kumi ya hawa tuliokuwa nao hapa lakini
vyote vilishindwa na hatimaye nguvu ya umma ilishinda. Kikwete
ujumbe umeshamfikia kwahiyo anawasubiri vijana kuona uwezo wetu
ili aanze kujitetea kwa kuruhusu mabadiliko ya ukweli au naye aachie
ngazi tusipotezee golden chance kama hizi kwani haziji mara mbili
jumamosi ijayo tarehe 19 mwezi february saa 4 asubui tunaanzia jangwani
mpaka downtown mpaka kieleweke.
 
We've a lot to learn from Tunisia and Egypt. This kleptocracy thing going on in Tanzania has to come to an end by hook or crook.
 
Back
Top Bottom