Mabomu ya Arusha,tunacheza ngoma tusiyoijua,kumbe ni ufadhili wa mataifa ya nje!!!

CHAI CHUNGU

JF-Expert Member
Feb 20, 2012
7,113
930
Kuna taarifa zimeanza kuvuja kwamba hizi move tunazoanza kuziona sasa ni ufadhili uliopangwa kwa muda mrefu na taifa moja la nje kwa ahadi ya kupewa kipaumbele kwenye uwekezaji endapo chama husika kitapata ridhaa ya wananchi.

Inasemekana kwamba sii mabomu tu,bali ata kwenye makampuni ya simu tanzania watu hao wamepenyezwa ili kurahisisha dhamila yao.

Kuhusu mabomu kuna kundi la vijana ambalo limeandaliwa kuendelea kufanya kazi kama hiyo mpaka katika kampeni za uchaguzi mkuu ujao ili kuendelea kupoteza imani ya watanzania kwa serikali yao na wao kutumia nafasi hiyo kutwa dora.

Habari zinazidi kusema kwamba kuna moja ya chama cha kisiasa hapa nchini kilikua kipewe msaada wa 20% ya kiasi walichohitaji lakini wafadhili hao wakasita kwa kutoamini kwamba kama kwele wanaweza kuchukia nchi uchaguzi mkuu ujao ikizingatia kwamba chama hicho hakina vitega uchumi vya kulipa endapo hawatachukua nchi.

Baada ya mabishano hayo yaliyoanza mwaka jana,ndipo walipofikia makubaliano ya kusubili mpaka wapate uhakika wa uungwaji mkono wa chama hicho kisha watawapatia msaada kutokana na tathimini yao watakayokua wameifanya.

Taarifa zinazidi kuvuja kwamba mzozo wa gesi na mizozo mingine inayozidi kuja kila kukicha ni katika kutafuta uungwaji mkono ili kuwalidhisha wafadhili wao.

'MABOMU ARUSHA'
Sikuwepo Arusha,lakini mmoja wa mashuhuda na mwenyekiti wa 'CHADEMA' mh Mbowe anakili kwamba walifanya makosa kuwazuia police kufanya kazi yao wakati wakijaribu kumkamata mrusha bomu.

Inasemekana kwamba mrusha bomu hakua peke yake eneo la tukio.
Mrusha bomu baada ya tukio alianza kukimbia huku wenzie wakimlinda kwa bunduki na risasi(single file)ndipo polisi walipojaribu kumfukuza mara likatokea kundi la vijana kama 20 hivi ambao inasemeka waliandaliwa kufanya hivyo na kuwazuia police kwa mawe ili wasiwafuate wahusika,kitendo hicho kilisababisha wananchi wote kuanza kuwashambulia police ambao sasa na wao ili kuepusha maafa zaidi waliamua kutumia mabomu ya machozi ili kupasua njia kukimbia kurudi zao kituoni.

Baada ya mh Mbowe kwa makusudi au kwa bahati mbaya kubaini kwamba wamefanya mistake kuwazuia police,aliamua kukimbilia kituoni ili kuwaomba police warudi kutuliza ghasia na kutoa msaada kwa majeruhi na police wakampa masharti kwanza akawatulize wafuasi wake kwanza.

'Mh LEMA'anasema yeye binafsi hajawahi kuona mvua ya mawe kama ya juzi waliyokua wanarushiwa police,na anashangaa kulikoni.

My take,
Ni wakati sasa wa msajiri wa vyama vya siasa nchini kutumia sheria ili nchi yetu izidi kua na amani.
Hata libya ilianza hivi na sasa wanamkumbuka Ghadafi!

Mungu ibariki Tanzania!
 
Acha kusingizia watu wa mataifa, ile ngoma imechezwa pale pale, Lema na Mbowe walikuwa targeted; yote haya ni uhasama wa CCM hawataki kukubali kwamba Arusha kamwe haitakaa iwe ya CCM tena. Mungu ni mkumbwa ngoma ikaangukia pembeni. sasa hivi tungekuwa tunasema mengine. watu wa nje wamuue Lema au mbowe awasaidie nini? hakuna logic hapo jipange upya.
 
Kuna taarifa zimeanza kuvuja kwamba hizi move tunazoanza kuziona sasa ni ufadhili uliopangwa kwa muda mrefu na taifa moja la nje kwa ahadi ya kupewa kipaumbele kwenye uwekezaji endapo chama husika kitapata ridhaa ya wananchi.

Inasemekana kwamba sii mabomu tu,bali ata kwenye makampuni ya simu tanzania watu hao wamepenyezwa ili kurahisisha dhamila yao.

Kuhusu mabomu kuna kundi la vijana ambalo limeandaliwa kuendelea kufanya kazi kama hiyo mpaka katika kampeni za uchaguzi mkuu ujao ili kuendelea kupoteza imani ya watanzania kwa serikali yao na wao kutumia nafasi hiyo kutwa dora.

Habari zinazidi kusema kwamba kuna moja ya chama cha kisiasa hapa nchini kilikua kipewe msaada wa 20% ya kiasi walichohitaji lakini wafadhili hao wakasita kwa kutoamini kwamba kama kwele wanaweza kuchukia nchi uchaguzi mkuu ujao ikizingatia kwamba chama hicho hakina vitega uchumi vya kulipa endapo hawatachukua nchi.

Baada ya mabishano hayo yaliyoanza mwaka jana,ndipo walipofikia makubaliano ya kusubili mpaka wapate uhakika wa uungwaji mkono wa chama hicho kisha watawapatia msaada kutokana na tathimini yao watakayokua wameifanya.

Taarifa zinazidi kuvuja kwamba mzozo wa gesi na mizozo mingine inayozidi kuja kila kukicha ni katika kutafuta uungwaji mkono ili kuwalidhisha wafadhili wao.

'MABOMU ARUSHA'
Sikuwepo Arusha,lakini mmoja wa mashuhuda na mwenyekiti wa 'CHADEMA' mh Mbowe anakili kwamba walifanya makosa kuwazuia police kufanya kazi yao wakati wakijaribu kumkamata mrusha bomu.

Inasemekana kwamba mrusha bomu hakua peke yake eneo la tukio.
Mrusha bomu baada ya tukio alianza kukimbia huku wenzie wakimlinda kwa bunduki na risasi(single file)ndipo polisi walipojaribu kumfukuza mara likatokea kundi la vijana kama 20 hivi ambao inasemeka waliandaliwa kufanya hivyo na kuwazuia police kwa mawe ili wasiwafuate wahusika,kitendo hicho kilisababisha wananchi wote kuanza kuwashambulia police ambao sasa na wao ili kuepusha maafa zaidi waliamua kutumia mabomu ya machozi ili kupasua njia kukimbia kurudi zao kituoni.

Baada ya mh Mbowe kwa makusudi au kwa bahati mbaya kubaini kwamba wamefanya mistake kuwazuia police,aliamua kukimbilia kituoni ili kuwaomba police warudi kutuliza ghasia na kutoa msaada kwa majeruhi na police wakampa masharti kwanza akawatulize wafuasi wake kwanza.

'Mh LEMA'anasema yeye binafsi hajawahi kuona mvua ya mawe kama ya juzi waliyokua wanarushiwa police,na anashangaa kulikoni.

My take,
Ni wakati sasa wa msajiri wa vyama vya siasa nchini kutumia sheria ili nchi yetu izidi kua na amani.
Hata libya ilianza hivi na sasa wanamkumbuka Ghadafi!

Mungu ibariki Tanzania!

Thread za aina hiii zimekuwa nyingi sanaaa hapa JF lately, inaitwa nitoke vipi!! salaam sanaa kwa maalim ustaadhi lipumba,
 
Inasemekana, inasemekana!
Maandishi meeeeengi kumbe ni INASEMEKANA tu!
Sasa unataka watu wenye akili zao wajadili INASEMEKANA???!
Nyie watu, mlisomea shule zipi lakini?
 
Poor analysis! Kama taifa la nje linaweza kunamanipulate namna hii mambo ya nchi bila ya usalama wa taifa wala serikali kujua wala kujipanga kuzuia, basi hiyo serikali imepoteza uhalali wa kuendelea kuwepo madarakani. Kama tumefikia hatua ya mataifa ya nje kufanya haya, basi serikali iliyopo madarakani iliyokabidhiwa vyombo vyote vya ulinzi, iachie ngazi mara moja. Maana imeshindwa kuwalinda wananchi.

Ukweli ni kwamba mnachokifanya CCM na Mwigulu mnakijua. Kinana, Mwigulu na cabinet yote ya CCM ilikuwa China wiki chache tu zilizopita. Na bomu lililotumika tumeambiwa lilitengenezwa China. Ni wazi hilo bomu lililetwa na jangili kinana pamoja na Mwigulu. Hamtapata kwa kukimbilia hata iweje! CHADEMA ni wehu hadi wakalipue bomu mahali wanapokubalika zaidi? Si wangelipua bomu wasikokubalika ili ionekane wamehujumiwa?

Inaonekana sasa hivi CCM hata mbinu zile za kijasusi mlizofundishwa na Nyerere mmeshazipoteza, kiasi cha kubaki na hizi mbinu za kitoto na zilizopitwa na wakati kama hizi za akina Mwigulu.
 
Nadhani hiyo ni plan inayoendelea yakutaka kumuua mbowe na lema tunawajua mumecheza ngoma lakini mungu kawaadhiri am sure kikwete alikuwa anategemea akitoka kupanguza nywele za vitoto vya sunderland angekuja kunywa mvinyo ikulu kwa kumuondoa Mbowe mtu ambaye amekuwa akimuheshimu sana na mnafiki ndio anataka kummaliza wa Kwanza
 
Naona mnakuja na movie mpya sasa. Wakati mafisadi wenzako wanasafirisha minofu ya sangara mwanza na kuleta silaha za kivita kwa waasi nchi jirani mlikuwa kimya. Leo yanaanza kuwageuka mnaanza kutunga movie mpya. Hiyo intelligence mbona iko biased. Ccm wakifanya ugaidi time ya kugeresha inaundwa mara moja. Upinzani wakisema neno lolote ni jela mara moja.

Go tell that nonsense to your dad or boss.
 
CCM maji yako shingoni!!! Chanzo cha mabomu ni hofu ya kushindwa uchaguzi wa madiwani Arusha!! Sasa wewe unapoleta hapa utumbo wako kana kwamba watanzania ni mbumbumbu, umenoa!! Kila mwananchi, wakiwemo wana CCM wenyewe sasa wanafahamu wazi kuwa Kikwete ndiye kinara na mratibu wa mauaji hayo. Huu ndio ukweli. Full stop!! Mwenye masikio ya kusikia na asikie!
 
Tatizo la waleta mada wa namna hii wanaanzisha kisha hawarudi kutetea hoja yao haooo wanakimbia, je si kutumiwa huku?
 
Hebu jaribu kupitia hapa Mkuu. Pengine utapata upande mwingine wa wazo lako.

View attachment 98457
Kuna taarifa zimeanza kuvuja kwamba hizi move tunazoanza kuziona sasa ni https://www.jamiiforums.com/jukwaa-...rusha-sehemu-ya-kwanza-inasikitisha-sana.html

Tahadhari: Tafadhali fungua ukiwa mbali na watoto kwa kuwa kuwa ni video ya kikatili

WANAJF,

Video hii ni sehemu ya kwanza tu inayoonyesha kabla na baada ya bomu kulipuka hali ilivyokua bila kuonyesha ni nani aliyelipua.Ni video ya dakika 4:19.Hivi ndivyo maisha ya watanzania wenzetu yalivyokatishwa kikatili.Bonyeza link hiyo naamini Moderators watatusaidia

Bomu Arusha Mkutano ChademA 15 JUNE - YouTube

ufadhili uliopangwa kwa muda mrefu na taifa moja la nje kwa ahadi ya kupewa kipaumbele kwenye uwekezaji
endapo chama husika kitapata ridhaa ya wananchi.

Back
Top Bottom