Elections 2010 Mabomu na risasi zapigwa Kigoma Mjini

igoji

Member
Sep 5, 2010
65
6
Kwa mujibu wa BBC radio kupitia Richard katunka, mabomu yanalindima huko kigoma mjini. kigoma kaskazini Zito kapeta na vilevile Kafulila ameshinda.
 
CCM CCM CCM.... JK kweli haya ndo unayoyataka...


Kweli....:doh:
 
Back
Top Bottom