Mabomu Mbagala kulipuliwa Jumamosi | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mabomu Mbagala kulipuliwa Jumamosi

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by GP, Jun 4, 2009.

 1. GP

  GP JF-Expert Member

  #1
  Jun 4, 2009
  Joined: Feb 5, 2009
  Messages: 2,073
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 135
  taarifa iliyotolewa na JWTZ kwa vyombo vya habari inasema mabomu 11 yatalipuliwa siku ya jumamosi tarehe 6 Juni, hivyo wakazi wa mbagala na vitongoji vyake wanaombwa kuwa watulivu na kuendelea na shughuli za ujenzi wa taifa. ulipuaji wa mabomu utakua salama na hakuna madhara yatakayojitokeza
  onyo wanaombwa kukaa mbali na eneo la ulipuaji kwa usalama zaidi.
   
Loading...