anajiandaa kuwa rais.
suala la kujiuzulu halipo kwenye list yake.
These guys are just stupid craps
Kwa hiyo yupo juu ya sheria na utaratibu wa utawala bora!!Hussein Hassan Mwinyi mtoto wa Ally Hassan Mwinyi - open your mind!!!
Nimemsikia waziri wa Ulinzi Mh Hussein Mwinyi akihojiwa na VoA swahili. Pamoja na maswali mengine ameulizwa kuhusu kuwajibika kwa kujiuzulu.
Mwinyi: Kujiuzulu kunatoka na makosa yaliyofanywa na mamlaka iliyoko chini ya mtu kama itadhihirika. Tusubiri tume itakayoundwa na tupate matokeo yake kwanza.
My Take:
1. Hili ni tatizo la pili kutokea. Tume ni ya nini ikiwa ile ya kwanza hatukujua nini kilifanyaka?
2. Tunajua kuwa njia rahisi ya kiongozi asiyeweza kupambanua mambo ni tume ili kutengeneza mazingira ya kutengeneza hadithi.
3. Mh Mwinyi anataka kutufanya Watanzania mbumbumbu sana.
Dhana(concept) ya kuwajibika ina maana zaidi ya moja.
a) Kuwajibika kwa makosa ya watendaji kisheria kama alivyosema yeye Mwinyi.
b) Kupisha uchunguzi halali usioingiliwa na wale wanaochunguzwa
c) Kuonyesha machungu au kutoridhika kwa kile kilichotokea, na hapa ni vifo huku
kiongozi husika akiwa na dhamana.(sympath)
Zote (a), (b), (c) zinamgusa Mh Mwinyi moja kwa moja. Wakati leo kuna watu wanamisiba mizito majumbani kwao, wengine wapo mahospitalini, watoto hawajui wazazi wapo wapi, mali zimeharibiwa na watu hawajui nini cha kufanya, makazi hakuna watu wapo kwa majirani, hivi kweli hata kama kifungu (a) na (b) hapo juu hakimhusu kiongozi, je kifungu (c) cha kuonyesha huruma na machungu nacho pia kiongozi hawezi kukifanya!!! Yaani hata huruma ya madhara yatokanayo hakuna!!, eti kwasababu tu mtu abaki kuwa waziri.
sad!!!
mkuu wa nchi alishaambiwa kuwa yanunuliwe mengine hayo ya mwaka 1972 yaondolewe jibu mnalijuwa!
My neighbour's daughter's Foot!..huh!Ila nimepata idea. Wala asijiuzulu, maana akijiuzulu, atakayekuja hapo bado atateuliwa na huyo huyo mdhaifu, so atakuwa naye mdhaifu tu...
nimemsikia waziri wa ulinzi mh hussein mwinyi akihojiwa na voa swahili. Pamoja na maswali mengine ameulizwa kuhusu kuwajibika kwa kujiuzulu.
Mwinyi: kujiuzulu kunatoka na makosa yaliyofanywa na mamlaka iliyoko chini ya mtu kama itadhihirika. Tusubiri tume itakayoundwa na tupate matokeo yake kwanza.
my take:
1. Hili ni tatizo la pili kutokea. Tume ni ya nini ikiwa ile ya kwanza hatukujua nini kilifanyaka?
2. Tunajua kuwa njia rahisi ya kiongozi asiyeweza kupambanua mambo ni tume ili kutengeneza mazingira ya kutengeneza hadithi.
3. Mh mwinyi anataka kutufanya watanzania mbumbumbu sana.
Dhana(concept) ya kuwajibika ina maana zaidi ya moja.
A) kuwajibika kwa makosa ya watendaji kisheria kama alivyosema yeye mwinyi.
B) kupisha uchunguzi halali usioingiliwa na wale wanaochunguzwa
c) kuonyesha machungu au kutoridhika kwa kile kilichotokea, na hapa ni vifo huku
kiongozi husika akiwa na dhamana.(sympath)
zote (a), (b), (c) zinamgusa mh mwinyi moja kwa moja. Wakati leo kuna watu wanamisiba mizito majumbani kwao, wengine wapo mahospitalini, watoto hawajui wazazi wapo wapi, mali zimeharibiwa na watu hawajui nini cha kufanya, makazi hakuna watu wapo kwa majirani, hivi kweli hata kama kifungu (a) na (b) hapo juu hakimhusu kiongozi, je kifungu (c) cha kuonyesha huruma na machungu nacho pia kiongozi hawezi kukifanya!!! Yaani hata huruma ya madhara yatokanayo hakuna!!, eti kwasababu tu mtu abaki kuwa waziri.
Sad!!!
Yaani wanamuandaa yeye kuwa rais!!!! Wala hafai hata kidogo....