Mabomu G'mboto

Ados

Senior Member
Feb 26, 2011
117
20
Ndugu wana JF naomba mnipe mafafanuzi kuhusu misaada inayotolewa kwa wahanga wa mabomu ninani hasa walengwa maana kuna wengine nyumba zao zimepigwa mabomu lakini watu hawa hawajapokea hata kipande cha mhogo wakukanga au ndio kufa kufaana
 
Back
Top Bottom