kwani huko foreign students hawaruhusiwi kufanya kazi part time kihalali????au hamna kazi??? sasa wanaume wanatoa wapi hela? au nao wanajiuza?
Cisco tueleze wanetu huko wakoje, au na wewe umo?
Si nimesikia na akina kaka wanauza madawa ya kulevya huko. Na wanachezea kifo maana ukishikwa huko ni death sentence nothing more or less
Kwa kuwa elimu ya Tz bado iko chini nilikuwa na wazo la kumpeleka mwanangu abroad; na nchi ambazo nilidhani kidogo watoto wana manners ni pamoja na Malaysia. Sasa sijuhi watoto wetu tuwapeleke wapi?; labda jupiter. Maana hizi western countries kwa undergraduate ndio kabisa unaweza kuzimia.
Jamaaa wakikudaka na unga wewe ni kunyongwa ndani ya masaa 24
Hahaha! Walikudaka nini ukakimbia?
kwani huko foreign students hawaruhusiwi kufanya kazi part time kihalali????au hamna kazi??? sasa wanaume wanatoa wapi hela? au nao wanajiuza?
hivi kunatofauti gani
kati ya bachelor of
science in computer
science na bachelor of science with computer
science? ? ? Na ipi ndo
ipo fresh?
Kwa kuwa elimu ya Tz bado iko chini nilikuwa na wazo la kumpeleka mwanangu abroad; na nchi ambazo nilidhani kidogo watoto wana manners ni pamoja na Malaysia. Sasa sijuhi watoto wetu tuwapeleke wapi?; labda jupiter. Maana hizi western countries kwa undergraduate ndio kabisa unaweza kuzimia.
Mkuu msomeshe mwanao bachelor hapa hapa bongo then kwa hizo degree za pili na tatu ndo umpeleke nje ya tz
hivi kunatofauti gani
kati ya bachelor of
science in computer
science na bachelor of science with computer
science? ? ? Na ipi ndo
ipo fresh?
Hiyo ya kwanza ni purely computer studies, ila hiyo ya pili unachanganya na kozi nyingine other than those of computer. Kama sikosei kuna mihesabu hesabu na sijui maphysics kitu kama hicho.
Hii kitu ni kama Bachelor of science with education-utasoma na vitu kama physics, or biology or chemistry wakati mtu wa Bachelor of Education-yeye ni issue za education tu hayo masomo mengine hakuna. Nadhani umepata picha hapo mkuu.
Unatukata stimu mkuu,rudi kwenye mada bana!!!