Mabinti/wanawake huu ni uzuzu

Samawia

JF-Expert Member
Dec 6, 2017
594
457
Utakuta binti/mwanamke umezalishwa na mume wa mtu,halafu unatamba mitaani eti unapendwa sana na Baba Naniliuu, angekupenda si angemwacha mkewe akakuoa wewe?akishajua uzuzu wako anakugeuza kiwanda cha kuzalishia watoto anakuongeza mimba ya pili mpaka ya kumi, na hakuoi katu,kibaya zaidi anakupa masharti usiolewe au usiwe na mwanaume mwingine yeyote la sivyo atasitisha huduma kwa watoto wako,miaka inaenda anakuja kuwachukua wanawe,na anakwambia atawalea wanawe ila hawezi kuwa na mke zaidi ya mmoja ukipata mume olewa ,tayari umezalishwa watoto wawili watatu subiri uolewe na mzee mane wa miaka 70 ukalee wajukuuze.
Ukikosa mume ni bora uzae na mseja sio mume wa mtu.
 
Umeeleweka mkuu
 
Waume wenye ndoa zao watakuja juu, maana unawarushia ndege zao a.k.a incubators.
 
Ukiona hivi jua mtoa mada kaumizwa na kimbilio pekee ni jf!

Ha ha haaaa Mme Wa mtu mtam si ndo maana anazalisha? Ha ha ha
 
Afu mtu akipewa mimba na mume wa mtu anaona raha ee
Hasa akijua madhaifu ya b mkubwa wake kumbe ni uzuzu mwsho wa siku unaachwa
 
2 Reactions
Reply
Back
Top Bottom