Mabinti wanachukia mahusiano mapya maana inawabidi wazuge hawapendi hela mwezi mzima

Hiyo huwa mnajiongeza wenyewe,mkiona kimya sana wenyewe mnaanza kutuma hela ya kula,usafiri,mara baby hela yako hii 50 matumizi yako ya wiki hii

Mara elfu 20 inaingia njoo New park tujumuike lunch,nikitaka kuondoka unatoa burungutu lako la hela ili nilione kuwa una hela,unachomoa nyekundu 3 unanipa kama nauli

Wanaume mnajishua sana,tukiwa kimya maneno,tukiomba maneno
.
Pole yenu
 
Nilitumia hiyo mbinu kwa mmoja enzi hizo, siku ya kuja gheto kafungasha na begi la nguo kabisa anadai anakuja kukaa wiki wakati mahusiano yetu ndio yalikua na wiki 2, nilim'block siku hiyo hiyo.
Ulimfukuzaa au???
 
Mda huo na wewe uombi papuchi unajifanya kijana mwema,
Kuna mmoja tuko ktk urafiki, ila nimesita hata papuchi sijaomba,, niko bize asubuhi hadi saa mbili usiku,,

Ni sitoomba tuendelee hivi hivi tu, juzi kati kaniazima pesa ndogo nimemtoa kiroho safi,, na sina mpango wa kumdai,,

Simu kila siku,,

"Kuna kitu nimegundua ndo maana nafanya ivi"

Tuishie urafiki TU.
 
Back
Top Bottom