Mabinti wakitanzania huko India wakipigana hadi wakavuana nguo

Kashishi

JF-Expert Member
Apr 11, 2010
1,137
622
Duh! Jamani sikuyajua kuwa ndivyo yalivyo kwa mabinti wa Ki Tanzania huko India mpaka nilipoona hii clip:

 
Bonge la aibu aisee halafu hao wanaoongea wana lafudhi ya Nigeria
 
Ukisikiliza kwa makini hiyo video, kuna mtu anasikika akitaja Tanzania! How and why, I dunno!
hata mimi nimewasikia, lakini hilo haliwezi kudhibitisha as inawezekana wamepanga kuichafua Tanzania, huyo anayetamka hapo asitupe uhakika
 
hata mimi nimewasikia, lakini hilo haliwezi kudhibitisha as inawezekana wamepanga kuichafua Tanzania, huyo anayetamka hapo asitupe uhakika
Ndo maana nikasema dunno why hilo jina limetajwa! Lakini kwa upande mwingine, inawezekana ktk kubiringishana mmoja kadondosha pochi; watu kuangalia passport wanakuta TZ manake kwa nje, ni rahisi sana Waafrika kuambiwa ni Nigerians kuliko Tanzanian!Nahisi kuna sababu...
 
Hii video ipo tangu mwaka jana na ni China wala sio India....mleta uzi ni muongo.
Kumbe askari wa China ndio uniform zao hizo,ama kweli waliosema tembea ujionee hawajakosea,halafu Siku Nyingine usipende kudandia uda kwa mbele.
 
Back
Top Bottom