Mabinti wa umri chini ya miaka 20 kumbe ni wasumbufu hivi?

under 20
apoo kwenye kuchat nakupiga simu mda wote umenifraisha. mmoja alinambia kwani ukiendesha gari ndo unashindwa kuongea na mimi ntanunua langu nikaishia kucheka.

nilimblock lakini wapi mara atumie simu ya mama yake mara ya kaka akikutana na rafiki anatumia. alikuwa amakariri namba zangu. nikasaliti amri nikamtoa kwenye black list. nikamueleza taratibu akanielewa ntakuwa naanza kumtafuta mimi kidogo saivi na amani kidogo.

akiweka kifurushi anataka apige mpka dakika ziishe.
 
Back
Top Bottom