Bata batani
JF-Expert Member
- Nov 11, 2011
- 3,182
- 3,547
Ila watanzania tuna maneno sanaHabari za muda huu wapendwa katika bwana,
Naomba niseme hili kwa uchache tu.
Binti asipolewaa tunaanza kuhoji Kwanini hajaolewa tunaanza kumchunguza ana kasoro gani
Akijitokeza mtu anataka kumuoa tunaanza kumkosoa muoaji
Akitiwa mimba Kabla ya ndoa tunaanza kumponda singo maza
Ifike hatua baadhi ya familia muoane wenyewe kwa wenyewe