Wakorinto wanazingua sana
Kupika hawajui
Kuoga hawajui
Teh maiti tenaMmeshazoea kupikiwa na maji ya maiti
KANYEGELO roho mbayaNa wanaongoza kwenda kwa sangoma kuweka mambo sawa🤔
Kuna mkorinto mmoja mke wa mtu namla aiseeh naye msafi sana kama hao tu wa faza Mudi.Wakorinto wanazingua sana
Kupika hawajui
Kuoga hawajui
, kuna ukweli hapa kwenye haya maandishi yako, umeishi na wakristo wangapi kwanza?Ni kweli, sio usafi wa mwili tu hata mazingira. Hiyo ndio sababu pekee huwa napenda kupanga nyumba yenye waislamu sie wagalatia tunazingua sana
Ata heshima kwa ma bwana zao hawana.Wakorinto wanazingua sana
Kupika hawajui
Kuoga hawajui
Mkuu...yaani nianze kuhesabu wakristo wote nilioishi nao tangu napata ufahamu hadi leo? Hiyo kazi sitoifanya samahani kwa hilo. Halafu sijasema wakristo wote ni wachafu hebu kuwa mwelewa, najua wapo wasafi ila ukweli usemwe kuwa hawa ndugu zetu kwenye suala la usafi wametuacha mbali....nna haya ni maoni yangu binafsi na wewe unaweza kuwa na yako, nayaheshimu pia, kuna ukweli hapa kwenye haya maandishi yako, umeishi na wakristo wangapi kwanza?
Kama unazingua ni wewe na sio kujumuisha wakristo wote.
Mkuu kwenye mabaibui yao na hijab huwa yanafichwa madini yenye thamani kubwa sana.Mimi ni mkristo lakini naielewa sana dini ya Kiislamu linapokuja swala la lifestyle..usafi,ndoa n.k