Mabinti wa kiislam na usafi

Waambie wajisafisheeee lkn waisioshe K kila wakati kwa maji tiririka na sabuni haina COVID 19 , kuosha sana hutoa ladha na harufu asili ya K ambayo ni kivutio cha uwekezaji EPZ itashukasha mapato, imeumbwa itoe dawa ya kujikinga na wadudu kuosha huondoa dawa yake ya asili inayozalishwa
NB; Usisafishe sikio kwa pamba , sikio hujisafiasha lenyewe
 
Ni kweli, sio usafi wa mwili tu hata mazingira. Hiyo ndio sababu pekee huwa napenda kupanga nyumba yenye waislamu sie wagalatia tunazingua sana
, kuna ukweli hapa kwenye haya maandishi yako, umeishi na wakristo wangapi kwanza?

Kama unazingua ni wewe na sio kujumuisha wakristo wote.
 
, kuna ukweli hapa kwenye haya maandishi yako, umeishi na wakristo wangapi kwanza?

Kama unazingua ni wewe na sio kujumuisha wakristo wote.
Mkuu...yaani nianze kuhesabu wakristo wote nilioishi nao tangu napata ufahamu hadi leo? Hiyo kazi sitoifanya samahani kwa hilo. Halafu sijasema wakristo wote ni wachafu hebu kuwa mwelewa, najua wapo wasafi ila ukweli usemwe kuwa hawa ndugu zetu kwenye suala la usafi wametuacha mbali....nna haya ni maoni yangu binafsi na wewe unaweza kuwa na yako, nayaheshimu pia
 
Mimi ni mkristo lakini naielewa sana dini ya Kiislamu linapokuja swala la lifestyle..usafi,ndoa n.k
Mkuu kwenye mabaibui yao na hijab huwa yanafichwa madini yenye thamani kubwa sana.
Wanastara sana na wanapenda kweli kweli.
 
Back
Top Bottom