Mabinti wa kiislam na usafi

Japo sitaingiza hili kuhusu yote uliyosema wewe usafi wao wanaupata kutokana na dini yao kuwaamrisha kuwa wasafi.

"Al islaam nadhifu (uislamu ni msafi) fainahu laa yadikhulti jannah (la hataingia mmoja wapo peponi) ila nadhifu (basi awe msafi)"

Note..Usafi unaozungumziwa hapa ni usafi wa nafsi na mwili pia ndiyo sababu hautaruhusiwa kuswali ama kusoma quran mpaka pale unapotwaharika yaani kuwa na udhu pia maana yake ni sehemu ya usafi

Kinachofanya Uislamu kuonekana hivyo ni pamoja na walio waislamu kukosa elimu juu ya uislamu wao..ila kwa mwenye elumu bhasi utaona kuna ukweli katika hili.

Juu ya sababu ya wao kuwa wasafi hili ndilo jibu.
Maashaallah umeandika vema japo hadith yako ni dhaifu
 
Kuna watu watakataa eti,

Wanawake wa kiislamu ni wasafi sana,

Wasafi mpaka unasema ndio,

Mwanamke wa kiislamu akienda tu washroom baada ya dakika 10 ndo utamuona anatoka hapo kamaliza haja zake kaosha kila kitu na maji

Sasa ndugu zangu akiingia washroom dakika 5 nyingi tisaue ndo zinakuwa zimehusika ndo maana ukiwavua nguo unahisi samaki kaoza ila muonekano wa nje yuko vizuri
 
mm ni mkrsto lkini hawa mabinti nimenyoosha mikono juu
 
sasa unaishia kuwala tu wakati unatakiwa uwaoe mkuu,yaani pamoja na kuonyesha wanakufaa kuishi nawewe bado unawafanya starehe tu.

ndio maana wa kigaratia huwa hawakuandalii maana wanajua huna hadhi hiyo,wewe ni kunguru.
 
Hao uliowala sio swala tano_Ofcoz nao wanafanya ila wana watu wao.

Usafi kwa mwanamke wa kiislam is Key!Imagine dini inakufundisha mpaka jinsi ya kujiswafi K.
Sasa wenzangu na mimi wanachezea madushe afu wanasema k inajisafisha yenyewe sijui huingizi kitu chochote.
Matokeo yake harufu zisizoeleweka inakuwa balaa kutokana na kujiswafi vibaya na matumizi machache ya maji.
 
yaani k zao ni swaafi walhi
 
Wacheza vigodoro leo wamekataliwa uislamu wao.....kwa taarifa yako wacheza vigodoro wote huwa wanavua hizo hijabu ndipo wanaingia kazini
 
Kuliwa sio tatizo si wanawake au?

Suala hapa ni usafi wanajitahidi sana usafi

Ila ni wasafi eeeeh

Mie ni.ke..so siwez sema km ni wasafi..ila nawasikiaga wananukia udi tu...na wanasweat balaa na yale majuba yao💃💃!labda umkute mambo safi anashuka kwa harrier yake..ila wenzangu na mm juba nyuma vumbi la ajabu😏😏!juba limepaukaaaa
 
Usafi huanzia rohoni mkuu hasa kwa mada hii ulioileta kiimani, hivi mtu amekuvulia chupi hujamuoa ana usafi gani? Kujisitiri ni pamoja na kuiepuka zinaa na sio kufunika mwili tu.
Ila wakati mwingine ukiwa na njaa hata mkate na maji unaweza kuuhisi ni mtamu kuliko vyakula vingine.
 
Back
Top Bottom