themanhimself176
JF-Expert Member
- Dec 28, 2016
- 1,800
- 2,817
Maashaallah umeandika vema japo hadith yako ni dhaifuJapo sitaingiza hili kuhusu yote uliyosema wewe usafi wao wanaupata kutokana na dini yao kuwaamrisha kuwa wasafi.
"Al islaam nadhifu (uislamu ni msafi) fainahu laa yadikhulti jannah (la hataingia mmoja wapo peponi) ila nadhifu (basi awe msafi)"
Note..Usafi unaozungumziwa hapa ni usafi wa nafsi na mwili pia ndiyo sababu hautaruhusiwa kuswali ama kusoma quran mpaka pale unapotwaharika yaani kuwa na udhu pia maana yake ni sehemu ya usafi
Kinachofanya Uislamu kuonekana hivyo ni pamoja na walio waislamu kukosa elimu juu ya uislamu wao..ila kwa mwenye elumu bhasi utaona kuna ukweli katika hili.
Juu ya sababu ya wao kuwa wasafi hili ndilo jibu.