Mabinti wa kibongo na Oman

Tabrett

JF-Expert Member
Jun 5, 2013
522
338
Habari ya asubuhi wanajamvi naomba yeyote mwenye uzoefu na suala la wadada wa kibongo kufanya kazi salon za kuchora hina huko Oman
naomba anifahamishe yanayotendeka huko.
 
Habari ya asubuhi wanajamvi naomba yeyote mwenye uzoefu na suala la wadada wa kibongo kufanya kazi salon za kuchora hina huko Oman
naomba anifahamishe yanayotendeka huko.
HAYA HAPA
0.jpg

532880_162184273914534_1985353880_n.jpg

318296_162206363912325_1958135300_n.jpg

580748_175301079269520_454237233_n.jpg

14279_441174785938991_1618890931_n.jpg
 
Tabret yani hina igundulike uarabuni ila leo hii wataalamu wakuchora watokee africa. Hehehe! zakuambiwa changanya na akili yako.
 
Nadhani watakuwa wanapaka hina. km una jua kazi nyingine wanazofanya zaidi ya hiyo ulosema sio mbaya ukitushirikisha.
 
wachora hina tu sema kuna udalali aweza kuwa analipwa Mil 4 afu dalali anachukua 3 anampa 1. Pia ni kazi a punda wakirudi wamekufa migongo kuinama mda mrefu manake kule mibwenyenye yachorwa kwa ubosi
 
Wacheni uongo na kuvunja moyo watu wasifanye kazi nje na wabaki nyumbani kufanya u cd.

Ndiyo maana watz tunabaki kulalama tu kazi tukipewa mdomo mrefu.
Kuna kabaang ya 450, kuna kabaang ya 500, kuna kabaang ya 600, kuna kabaang ya 700, kuna kabaang ya 1000, kuna kabaang ya 9000, chagua wewe na acha kuzogoa hapa jamvini
 
Back
Top Bottom