darubin ya mbao
JF-Expert Member
- Aug 3, 2016
- 1,893
- 4,023
Moja kwa moja kwenye mada nisiwachoshe ndugu zangu wa JamiiForums.
Nimekuwa nikisoma mara kadhaa humu kuwa hawa mabinti wanaotusaidia kazi nyumbani mayai yao yapo karibu sana yani ukigusa tu imoo.
Basi na mimi leo naleta ushuhuda kuwa ni kweli hawa mabinti suala la kushika mimba ni sawa na kumsukuma mlevi tu.
Wakuu nimetembea na binti wa kazi na sasa hivi ana mimba ya wiki kadhaa, wife kwa sasa hatuishi pamoja yupo masomoni.
Ndio hivyo tu wakuu.