Jadda
JF-Expert Member
- May 20, 2019
- 29,208
- 83,494
Ndiyo ukweli wenyewe huo au nasema uongo ndugu zanguFeminist mje kumwambia huyu mchizi kuwa maisha hayana formular
Au hizi ndoa zinazofungwa kila weekend huwa ni za mabinti wa huo umri tu eti
Ndiyo ukweli wenyewe huo au nasema uongo ndugu zanguFeminist mje kumwambia huyu mchizi kuwa maisha hayana formular
Km shida n baridi washa Moto kwa jiko la mkaa uote,,,,,mbona simple tu..........tutasababisha .....depopulation mkuu.
Au kwenu huko ni msimu wa joto
Mchapaji hatoi choziWachapaji tu hao kama unadhani nakutania, jifanye kumtunuku mmoja utakaempenda uone kama atamaliza even three months na wewe kama hajala kona
Mchapaji hatoi chozi
Umeona eee!life begins at 40,USITUTISHEEEEEEE
oyooooo! there we goUmeona eee!
By the way, lengo kuu la ndoa si ni kunyanduana tu? Kwani kama mwanamke hajaolewa hanyanduliwi?
Sasa kama mnyanduano unapatikana hata bila kuingia kwenye ndoa, ndoa ya nini?
umeongea kweliNajua kuna watu wameanza kupanick. Simaanishi dirisha ulilowaza wewe, nina maanisha muda maalumu ambao Mwenyezi mungu amewatengea ili kuhakikisha mnapata Mwanaume.
Mwanamke yuko kidogo na utofauti na Mwanaume. Mwanamke ameumbiwa thamani tangu angali tumboni kwa mama yake. Thamani ambayo wala haangaiki kuitafuta, Jukumu lake kuu ni kuilinda na kuitunza thamani hiyo kipindi muda sahihi utakapo wadia. Kwa bahati mbaya zaidi thamani yake hudumu kwa kipindi cha muda mfupi zaidi kuliko ile ya mwanaume
Thamani ya mwanamke (Female Value) huanza hushamiria anapofikia miaka 19 na hufikia kileleni afikapo miaka 26. Hiki ndio kipindi ambacho mwanamke anapata attention ya ziada kutoka kwa wanaume. Ndio kipindi ambacho uzuri na urembo wake hujidhihirisha wazi.
Hiko ndio kipindi ambacho Munu amemuumbia mwanamke kupata mwanaume. Kipindi ambacho atatongozwa na idadi kubwa sana ya wanaume kuliko kipindi chochote kile kwenye maisha yake. Hivyo basi ni vyema mabinti watumie vyema wakati huo. Wanawake wengi wametumia vibaya sana wakati huu.
Dalili za wanawake walio chezea vibaya dirisha hili.
Ukiuchezea muda huo hakuna atakaye kuadhibu, bali UKUTA wa huo muda ndio utakao kuadhibu. Ewe binti usiruhusu dirisha hili likukute na kukupita bila ya kujichukulia chako mapema.
- Wengi wao wanashinda makanisani kuombewa wapate wanaume wa kuwaoa.
- Wengi wao wamegeuka na kujipa jukumu la kutongoza wanaume hadi jamii inawashangaa.
- Wengi wao wanashangaa kwanini hawatongozwi na kshobokewa na ilivyo kipindi cha nyuma.
- Wengi wamebebeshwa mimba na kubaki Masingo Maza.
- Wengu wameishia kudanga na kupewa magonjwa ya kudumu kama HIV
View attachment 1676544
..........haiwez kuisha bila kunyanduana mkuuKm shida n baridi washa Moto kwa jiko la mkaa uote,,,,,mbona simple tu
Kila la heri ktk shughuli yako mkuu..........haiwez kuisha bila kunyanduana mkuu
Kila la heri ktk shughuli yako mkuu
Nakupenda pia.Nakupenda sana
Na bahati mbaya ukweli huu hua wengi wanaung'amua baada ya kuchezea na kupitwa na wakatiHakika nimejitunza kitu kikubwa kwenye hii post,barikiwa mkuu.
Bora umesema, maana sikuhizi wanajikuta Sana hawajui kijana wa kiume anaweza kuoa hata miaka 30 wao wanafikiri kujaliwa makalio kumbe wamesahau hata tivii za chog zilishapita na wakati
Acha matusi kwa watoto wa kike, Kumbuka hata mama yako ni MWANAMKE ana dirisha kama ulimaanisha kwa nia njema!Mbaya zaidi ni siku hizi MADIRISHA YAO YAMEKUWA MAKUBWA SANA HADI KIBOKO ANAPITA.