Mabinti hii sio issue......

tajirijasiri

JF-Expert Member
Oct 13, 2012
2,864
3,851
Enyi baadhi ya mabinti:-
1. Sio kila mwanaume anayekupa salamu anakutaka kimapenzi!
2. Sio kila Mwanaume anayeku inbox au kuku PM anataka mapenzi nawe!
3. Sio Kila Mwanaume anayeomba namba yako ya simu anataka kukutongoza!
4. Sio kila mwanaume anayekuchangamkia anakutaka!
Enyi baadhi ya mabinti acheni maringo, minato na kujisikia kana kwamba hamfi mkazikwa!
 
Mi nashanga hata huku mahospitali.....unaweza kumwuliza mtu maswali...mapoozi....anafikiri kila saa unafikiria kutongoza au kumtaka.....kuna mmoja mnshamwambia live...kabisa...
 
Mi nashanga hata huku mahospitali.....unaweza kumwuliza mtu maswali...mapoozi....anafikiri kila saa unafikiria kutongoza au kumtaka.....kuna mmoja mnshamwambia live...kabisa...

Safi sana kwa kumpa live! Wadada wasiojisikia mara nyingi huwa na mafanikio sana maishani!
 
Enyi baadhi ya mabinti:-
1. Sio kila mwanaume anayekupa salamu anakutaka kimapenzi!
2. Sio kila Mwanaume anayeku inbox au kuku PM anataka mapenzi nawe!
3. Sio Kila Mwanaume anayeomba namba yako ya simu anataka kukutongoza!
4. Sio kila mwanaume anayekuchangamkia anakutaka!
Enyi baadhi ya mabinti acheni maringo, minato na kujisikia kana kwamba hamfi mkazikwa!

mabinti wa hivi subiri wafike 30
ndo wanaoenda kukesha kwenye maombi wakitafuta mume
 
Wanajishtukia mademu wa dizain hyo......ingawa kuna baadhi ya watu wanavyoomba no tu unajua kifuatacho na ITV
 
hiyo number 3 itoe kwani unamuomba number ya simu ili iwe nn sasa, uzoefu unaonesha asilimia kubwa ya wanaoomba namba za simu wanaishia kutongoza, so hiyo asilimia ndogo ya madomo zenge haiwezi kuwafanya mabinti wasi-generalize
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom