Binti mwenye muonekano mzuri na maadili mazuri wenye miaka kati ya 20-24, ni PM tuchat. Atakaebahatika kukonga moyo kuna ofa ya ndoa na kuendelezwa kimaisha ikibidi. ni PM tuchat
nawasilisha.
Kwa hiyo unamshauri aongeze mpaka ngapi ambao hawako kwenye soko? halaf nilikuwa najiuliza tu kumbe ndoa inawekwa kwenye ofa siku hizi........mmmhmbona hujaweka sifa zako
duuuuuuu et kuendelezwa kimaisha na ofa ya ndoa
ungeongeza miaka ungewapata wengi umri uliotaja hawatafuti bali wanatafutwa wako kwenye soko
Ofa ya ndoa?????
Heaven on Earth....au na wewe kijeba kama tinna cute?
mie bado binti mbichi lazy mate.........
ila hii offer siitaki nasubiria ya kwako utangaze