mabinti between 20-24 wani pm kuna ndoa inawezekana

gulit

Senior Member
Mar 19, 2013
106
19
Binti mwenye muonekano mzuri na maadili mazuri wenye miaka kati ya 20-24, ni PM tuchat. Atakaebahatika kukonga moyo kuna ofa ya ndoa na kuendelezwa kimaisha ikibidi. ni PM tuchat

nawasilisha.
 
Binti mwenye muonekano mzuri na maadili mazuri wenye miaka kati ya 20-24, ni PM tuchat. Atakaebahatika kukonga moyo kuna ofa ya ndoa na kuendelezwa kimaisha ikibidi. ni PM tuchat

nawasilisha.

mbona hujaweka sifa zako

duuuuuuu et kuendelezwa kimaisha na ofa ya ndoa

ungeongeza miaka ungewapata wengi umri uliotaja hawatafuti bali wanatafutwa wako kwenye soko
 
mbona hujaweka sifa zako

duuuuuuu et kuendelezwa kimaisha na ofa ya ndoa

ungeongeza miaka ungewapata wengi umri uliotaja hawatafuti bali wanatafutwa wako kwenye soko
Kwa hiyo unamshauri aongeze mpaka ngapi ambao hawako kwenye soko? halaf nilikuwa najiuliza tu kumbe ndoa inawekwa kwenye ofa siku hizi........mmmh
 
Umri am in that range,Uzuri ninao,maadili am not sure yepi unaongelea,Ndoa mnhhh!lol
 
Me naongezea mwaka 14-25 basi, PM tutajadili kiutu uzima.Hakuna ofa ni serious kabisa.Nipo kawaida,urefu wastan,najielewa vizur,na gud lukin pia ipo.
 
Similar Discussions

0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom