data
JF-Expert Member
- Apr 9, 2011
- 26,138
- 22,709
Jamani hii imekaaje.. Binti anajipeleka kwa mwanamume yeye kama yeye.... ... anajitongozesha.... mwamume ili aonekane ni mwanamume anaamua anzisha mahusiano naye.. kumbe hajui wazo la huyo dada.. ni kumtegea MIMBA... na baada ya hapo BINTI huyo anaanza kudai Ndoa kwa nguvu zote, Kumbe huyo kaka wala hakua na Mpango naye.. sasa swali.. Binti kama huyu akitelekezwa yeye na mwanae.... alaumiwe nani??????? msaada tafadhali..