Mabint wanaobeba MIMBA...makusudi kama kigezo cha Kuolewa..!!!!!!

data

JF-Expert Member
Apr 9, 2011
26,138
22,709
Jamani hii imekaaje.. Binti anajipeleka kwa mwanamume yeye kama yeye.... ... anajitongozesha.... mwamume ili aonekane ni mwanamume anaamua anzisha mahusiano naye.. kumbe hajui wazo la huyo dada.. ni kumtegea MIMBA... na baada ya hapo BINTI huyo anaanza kudai Ndoa kwa nguvu zote, Kumbe huyo kaka wala hakua na Mpango naye.. sasa swali.. Binti kama huyu akitelekezwa yeye na mwanae.... alaumiwe nani??????? msaada tafadhali..
 
Mtoto nae anapotelekezwa ni kwa kosa la nani?!

Hiyo mimba inategeshwa vipi mpaka mwanaume ajione hakua responsible kwenye kuitunga?!

Mwisho kabisa...hivi uanaume ni kutembea na yeyote anaekuchekea?!

Kumbuka hakuna mwanamume anayependa onekana *****..ktk Mapenzi..
..Na hii kitu sijaileta hapa kwa bahati mbaya.. ni kutokana na ongezeko la watoto wa mitaani wanaobaki na mzazi mmoja(MAMA)
 
Lakini kwa nini tunachukulia kuwa jukumu la kuzuia mimba isiyotakikana ni la mwanamke pekee?! ni kweli kuwa Mwanaume hana role katika kuhakikisha kuwa haleti kiumbe ambacho hajakipangia humu duniani?
 
Kumbuka hakuna mwanamume anayependa onekana *****..ktk Mapenzi..
..Na hii kitu sijaileta hapa kwa bahati mbaya.. ni kutokana na ongezeko la watoto wa mitaani wanaobaki na mzazi mmoja(MAMA)

Kwahiyo kumkatalia mwanamke usie na mpango nae ndio kuonekana kama ulivyoandika hapo juu?!Na akikubali ndo anaonekana kwamba ni hodari kwenye mapenzi?!

Mwanamke kutegesha mimba kwaweza zuiwa na mwanamke...acheni kulaumu upande mmoja!!
 
Alafu aliyekudanganya kwamba mtoto anaebaki na mzazi mmoja ni sawa na mtoto wa mtaani ni nani?!
Wapo wasio na mzazi hata mmoja na sio wa mitaani.
Wapo wenye wazazi wote na ni wa mitaani...usiseme tu mambo bila kupima uzito wake...!
 
Lakini kwa nini tunachukulia kuwa jukumu la kuzuia mimba isiyotakikana ni la mwanamke pekee?! ni kweli kuwa Mwanaume hana role katika kuhakikisha kuwa haleti kiumbe ambacho hajakipangia humu duniani?

kuna mwanamke anayemfuata mwanamume kwa lengo moja tu. kumtegea mimba... hata mwanamume akukuruke vipi..anashangaa badae salio limesoma... Nawe wajua hilo.. Do not Pretend
 
kuna mwanamke anayemfuata mwanamume kwa lengo moja tu. kumtegea mimba... hata mwanamume akukuruke vipi..anashangaa badae salio limesoma... Nawe wajua hilo.. Do not Pretend
Mwanaume akivaa Condom anavuliwa au inakuaje?!
<br />
 
Jmani wanaume mko wapi.... mbona hamnipi msaada kwa hili.. bujibuji,the boss,dark city,the finest,rutashubayima,katavi,klorokwin,mbu..????????
 
Kumbuka hakuna mwanamume anayependa onekana *****..ktk Mapenzi..
..Na hii kitu sijaileta hapa kwa bahati mbaya.. ni kutokana na ongezeko la watoto wa mitaani wanaobaki na mzazi mmoja(MAMA)

Sio wote mkuu wangu.
 
kuna mwanamke anayemfuata mwanamume kwa lengo moja tu. kumtegea mimba... hata mwanamume akukuruke vipi..anashangaa badae salio limesoma... Nawe wajua hilo.. Do not Pretend
lol why should I pretend?! Sijabisha ila tu hapa ni kama unamlaumu mwanamke peke yake ilhali it takes two to tango!!

Ni kama unasema women are more smart compared to Men!
 
sidhani kama una uhakika na hilo ulisemalo Lizzy.. na kama ndivyo..basi bado mdogo.. sorry

Sasa badala ya kunielewesha unaendelea kung‘ang‘ania kitu usichoweza kukielezea?!

Kila la kheri!!
 
Sasa badala ya kunielewesha unaendelea kung&#8216;ang&#8216;ania kitu usichoweza kukielezea?!

Kila la kheri!!

Asante kwa kutonipa msaada... na usiku mwema.. Sikuja hapa kufundisha ila kuhitaji msaada... .. hooooooooooo
 
lol why should I pretend?! Sijabisha ila tu hapa ni kama unamlaumu mwanamke peke yake ilhali it takes two to tango!!

Ni kama unasema women are more smart compared to Men!

You are never smart out of us (MEN)...but you know what to get what u wish from us...
 
Sasa data ukiwa mkali utapata msaada kweli?! Jibu swali kwa hoja si hacra au kususa bana la sivyo JF itakuwa adui yako soon!!

Kwa nn unafikiri wanaume wanashindwa kudhibiti mimba?
 
Sasa data ukiwa mkali utapata msaada kweli?! Jibu swali kwa hoja si hacra au kususa bana la sivyo JF itakuwa adui yako soon!!

Kwa nn unafikiri wanaume wanashindwa kudhibiti mimba?

hatuwezi kwasababu... twategemea ninyi mwatueleza nini From the very first tym... You know what I mean.. ur cycle!!!!!
 
Mtoto nae anapotelekezwa ni kwa kosa la nani?!

Hiyo mimba inategeshwa vipi mpaka mwanaume ajione hakua responsible kwenye kuitunga?!

Mwisho kabisa...hivi uanaume ni kutembea na yeyote anaekuchekea?!

Well said Lizy.
 
Data unanishangaza kidogo,kwa nini ulaumu wanawake tu.na kama mwanamme hataki mimba,atumie condom.na kwa nini umetumia neno la kuongezeka watoto wa mitaani?mtoto anaweza kulelewa na mama peke yake na akaishi bila ya matatizo yoyote yale.mfano mkubwa ni mimi,nimelelewa na mama tu,kwa sasa na mimi nimekuwa na huna vya kuniambia kwa mama yangu.she is everything to me
 
Back
Top Bottom