Mabina kuzikwa eneo alilouawa!

Mwikimbi

JF-Expert Member
Mar 8, 2008
1,762
825
Breaking news ya mwanachi wameandika kuwa huyu jamaa atazikwa eneo alilouawa,

yaani kule kile kilima chenye mgogoro uliosababisha kifo chake
 
Hiyo nikuendeleza mgogoro, mahakama ihakikishe hilo halitokei maana kesi iko mahakamani kuzika pale ni kummilikisha Mabina.
 
Kisheria mtu anazikwa kwenye eneo analolimiliki, sasa Mabina kuzikwa eneo hilo ina maana ilikuwa mali yake halali ama ndiyo hivo tena familia ya marehemu wanamilikishwa kijanja nini? Mimi nashauri akazikwe kwenye makaburi ya halaiki then eneo alilofia warudishiwe wenye nalo
 
Hahahhaaaa wanatajka asubuhi wakute mwili wa marehemu uko nje??/ Tuweni makini na maneno yetu na maamuzi yetu
 
Huo ni ujanja wa kuhalalisha eneo lile kuwa ni lake! Pia ni aina ya hukumu kwa wale watu saba wanaoshikiliwa kwa kifo chake. Tusione ajabu kusikia mwili wake umefukuliwa na kutupwa maana watu wameshachoka sasa!
 
Back
Top Bottom