Kisheria mtu anazikwa kwenye eneo analolimiliki, sasa Mabina kuzikwa eneo hilo ina maana ilikuwa mali yake halali ama ndiyo hivo tena familia ya marehemu wanamilikishwa kijanja nini? Mimi nashauri akazikwe kwenye makaburi ya halaiki then eneo alilofia warudishiwe wenye nalo
Huo ni ujanja wa kuhalalisha eneo lile kuwa ni lake! Pia ni aina ya hukumu kwa wale watu saba wanaoshikiliwa kwa kifo chake. Tusione ajabu kusikia mwili wake umefukuliwa na kutupwa maana watu wameshachoka sasa!
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.