Mabilioni yatengwa kulipa malimbikizo ya mishahara ya Watumishi

Kazi tunafanya,kutulipa inakuwaje ligi mkuu?Inafikirisha sana kwa kweli.Na Mchengerwa mwenyewe anakiri kabisa hela zipo na zimeshatengwa?Nilichogundua Mimi linapokuja suala la fedha ,watendaji wengi wa serikali wanageuka kuwa vikwazo,utadhani labda fedha hizo wanazitoa kwenye mifuko yao.Kumbe ni za serikali kwa ajili ya kulipa stahiki za waliovuja jasho na kutumia damu zao.

KIUKWELI KAMA TAIFA,INABIDI TUJITAFAKARI NA TUJISAHIHISHE SANA.
Ngoja tuvute subira ni kama walisema watamalizia january kwa tuliobaki haki yetu tutaipata kam mh waziri alivyosema
 
Back
Top Bottom