Mabilioni ya Uswisi: Rais Magufuli afunga kazi. Karibu Tsh. Bilioni 500 kurejeshwa nchini

singidadodoma

JF-Expert Member
Nov 11, 2013
4,394
1,531
DSC00797-1.jpg
 
Hii nchi kunawatu walikuwa wanaifaidi ni balaaa huku wengine wakifa kwa kukosa dawa..lazima heshima mtaani irudi..
 
Ikiwa katiba itaheshimiwa na kuhakikisha sheria, kanuni na taratibu zinafuatwa ipasavyo na kila mmoja wetu ( yaani sekta binafsi na serikalini). Sote tukalipa kodi stahiki na kuzuia mianya yote ya upigaji, amini nawaambia tutaandamana kwa madai maisha ni magumu sana.
Hata wewe na mimi bila kujali ulipo unaishi ukiogelea katika dimbwi la wizi, rushwa ndio maana unaweza kuishi kwa mshahara mdogo.
 
Usihofu, mambo yakikaa sawa lazima mishahara itaongezeka na ajira zitaongezeka. Wafanyakazi wenye uwezo wa kununua(purchasing power) wataongezeka na maisha yatakuwa mazuri. Hii ni ndio ndoto ya jpm. Hata biashara zitashamiri.
 
shida tumejenga tabia, na tabia zikatujenga tulivyo. kila mtu anaishi kwa wizi. mfanyabiashara anakwepa kodi ndio maana anaweza kuuza vitu bei ndogo.
simu feki zimesaidia sana maana bei yake ndogo lakini zimeathiri biashara halali.
wape bure wafanyabiashara zile vimashine vya risiti atagoma kwa sababu hajazoea kuishi kwa haki.
haki ikifuatwa biashara nyingi zinatosheleza mtu mahitaji muhimu tu sio kubadili magari kila mwaka.
kuuza na kutunza hesabu ya mtaji, faida yake na pesa aliyokusanya kwa ajili ya serikali heheheeeee wataandamana au mgomo kufunga maduka
 
Tusijidanganye kabisa pesa ya uswisi haitarudi kirahisi kama kufilisi mali za masamaki kule kajiungeni...itachukua muda nguvu na gharama kubwa mpaka kuzipata
 
Hii nchi kunawatu walikuwa wanaifaidi ni balaaa huku wengine wakifa kwa kukosa dawa..lazima heshima mtaani irudi..

Nadhani kuna uwezekano magereza sasa zikajilisha, mafisadi wakafundishwe kutafuta kwa jasho si kwa ujanja
 
I am waiting wadau....!!!
These days nimekuwa na furaha sana kuona kwamba yale yoote nlokuwa nayaitaji yanasemwa wazi na kufanywa na kiongozi mkuu wa nchi yangu.....!!!
Go JPM go....!!!!!
 
shida tumejenga tabia, na tabia zikatujenga tulivyo. kila mtu anaishi kwa wizi. mfanyabiashara anakwepa kodi ndio maana anaweza kuuza vitu bei ndogo.
simu feki zimesaidia sana maana bei yake ndogo lakini zimeathiri biashara halali.
wape bure wafanyabiashara zile vimashine vya risiti atagoma kwa sababu hajazoea kuishi kwa haki.
haki ikifuatwa biashara nyingi zinatosheleza mtu mahitaji muhimu tu sio kubadili magari kila mwaka.
kuuza na kutunza hesabu ya mtaji, faida yake na pesa aliyokusanya kwa ajili ya serikali heheheeeee wataandamana au mgomo kufunga maduka

waache wafungwe
 
Back
Top Bottom