Mabilioni ya Balozi yaanza kufanya kazi Sekta ya Habari

blix22

JF-Expert Member
Jun 23, 2013
213
645
BILIONI 7 ZA MABALOZI ZAANZA KUFANYA KAZI SEKTA YA HABARI

Mei 3 mwaka huu kuna viongozi flani wa vyombo vya habari kutoka Jukwaa la Wahariri (TEF) na mmoja wa MISA TAN nusura watwangane kwa mambo mawili;

Mosi, hili tuliweke kiporo, siku nyingine.

Lakini la pili ni kunyang'anyia uongozi katika kuratibu fedha ambazo mabalozi wawili waliokuwa wamekaa meza kuu; Imni Peterson wa Marekani na Sahah Cooke wa UK waliziahidi.

Si hao tu wengi pale walianza kutokwa udenda, kama ilivyo kawaida ya wanahabari.

Tetesi zinasema huenda pesa hizo zimeshaanza kuingia mtaani.

"Soma tamko la kijinga la mabalozi wa UK na US litakavyokolezwa kesho. Kuna magazeti manne-Tanzania Daima, Mwananchi, Citizen na Nipashe kuna watu wao wameshapata chao," kinasema chanzo cha kuaminika.

Hili salata linaweza kuishia kama lile la Waraka; magazeti hayo yamepenyezewa kitu lakini kuna watu yatawakuta katika sakata hili.

"Upande ambao vifedha kidogo kulainisha story hiyo itoke umetumika kupitisha ushajulikana."

Naionea huruma sekta ya habari. Inawekwa katikati ya michezo ya wenye uchu wa madaraka.

Tusubiri tuone.
 
Hamna mtoto hapa!

Kadanganyeni mapunguani wenzenu huko!

Umefanyika uovu,mabalozi wa nchi serious zenye kujali haki za binanadamu ni lazima zikemee!

Ni wajibu wao!

Na wao kutoa msaada kwa sekta ya habari ni jambo la heri na linatakiwa kukuza tasnia!

Maana serikali hii ya Jiwe imeinyea tasnia kabisa kama Bunge lilivyonyewa!

Acheni ngendembwe!

Fvck the regime!
 
Hio taarifa ya ubalozi ni habari kubwa sana huwezi lainisha kwa bongo muvi za takokuu wala kwa kumuachia jamaa kwamba alimtusi mkewe
 
BILIONI 7 ZA MABALOZI ZAANZA KUFANYA KAZI SEKTA YA HABARI

Mei 3 mwaka huu kuna viongozi flani wa vyombo vya habari kutoka Jukwaa la Wahariri (TEF) na mmoja wa MISA TAN nusura watwangane kwa mambo mawili;

Mosi, hili tuliweke kiporo, siku nyingine.

Lakini la pili ni kunyang'anyia uongozi katika kuratibu fedha ambazo mabalozi wawili waliokuwa wamekaa meza kuu; Imni Peterson wa Marekani na Sahah Cooke wa UK waliziahidi.

Si hao tu wengi pale walianza kutokwa udenda, kama ilivyo kawaida ya wanahabari.

Tetesi zinasema huenda pesa hizo zimeshaanza kuingia mtaani.

"Soma tamko la kijinga la mabalozi wa UK na US litakavyokolezwa kesho. Kuna magazeti manne-Tanzania Daima, Mwananchi, Citizen na Nipashe kuna watu wao wameshapata chao," kinasema chanzo cha kuaminika.

Hili salata linaweza kuishia kama lile la Waraka; magazeti hayo yamepenyezewa kitu lakini kuna watu yatawakuta katika sakata hili.

"Upande ambao vifedha kidogo kulainisha story hiyo itoke umetumika kupitisha ushajulikana."

Naionea huruma sekta ya habari. Inawekwa katikati ya michezo ya wenye uchu wa madaraka.

Tusubiri tuone.
Hi nchi INA Mataahira wengi, umeandika nini?
 
Hamna mtoto hapa!

Kadanganyeni mapunguani wenzenu huko!

Umefanyika uovu,mabalozi wa nchi serious zenye kujali haki za binanadamu ni lazima zikemee!

Ni wajibu wao!

Na wao kutoa msaada kwa sekta ya habari ni jambo la heri na linatakiwa kukuza tasnia!

Maana serikali hii ya Jiwe imeinyea tasnia kabisa kama Bunge lilivyonyewa!

Acheni ngendembwe!

Fvck the regime!
Mtu mweupe ajawahi mpenda mtu mweusi hapo vita ya wenyew kwa wenyew inatafutwa na waandishi ndio wapumbavu wa kwanza kununuliwa ili kuchochea angalieni Libya ilivyo sasa.
 
Umeipamba habari kubwa ya kushangaza tatizo nimepotea kwa kuelewa ulichotaka kutufungua kuhusu hiyo pesa ndefu bilioni 7 kusawambazwa ngoja nisubiri nitaelewa mbele ya safari

Kisarawe hoyeeee
 
Hamna mtoto hapa!

Kadanganyeni mapunguani wenzenu huko!

Umefanyika uovu,mabalozi wa nchi serious zenye kujali haki za binanadamu ni lazima zikemee!

Ni wajibu wao!

Na wao kutoa msaada kwa sekta ya habari ni jambo la heri na linatakiwa kukuza tasnia!

Maana serikali hii ya Jiwe imeinyea tasnia kabisa kama Bunge lilivyonyewa!

Acheni ngendembwe!

Fvck the regime!

Yankees

ina maana Tanzania siyo nchi serious..?

Tanzania haijali haki za binadamu..?

Really...!
 
BILIONI 7 ZA MABALOZI ZAANZA KUFANYA KAZI SEKTA YA HABARI

Mei 3 mwaka huu kuna viongozi flani wa vyombo vya habari kutoka Jukwaa la Wahariri (TEF) na mmoja wa MISA TAN nusura watwangane kwa mambo mawili;

Mosi, hili tuliweke kiporo, siku nyingine.

Lakini la pili ni kunyang'anyia uongozi katika kuratibu fedha ambazo mabalozi wawili waliokuwa wamekaa meza kuu; Imni Peterson wa Marekani na Sahah Cooke wa UK waliziahidi.

Si hao tu wengi pale walianza kutokwa udenda, kama ilivyo kawaida ya wanahabari.

Tetesi zinasema huenda pesa hizo zimeshaanza kuingia mtaani.

"Soma tamko la kijinga la mabalozi wa UK na US litakavyokolezwa kesho. Kuna magazeti manne-Tanzania Daima, Mwananchi, Citizen na Nipashe kuna watu wao wameshapata chao," kinasema chanzo cha kuaminika.

Hili salata linaweza kuishia kama lile la Waraka; magazeti hayo yamepenyezewa kitu lakini kuna watu yatawakuta katika sakata hili.

"Upande ambao vifedha kidogo kulainisha story hiyo itoke umetumika kupitisha ushajulikana."

Naionea huruma sekta ya habari. Inawekwa katikati ya michezo ya wenye uchu wa madaraka.

Tusubiri tuone.
hoja za mabalozi ziko very genuine,we unakuja kuzijibu kwa porojo za Ki Matonya,2020 the hague itawahusu sana.
 
kwahio hayo matamko sio habari ? Na vyombo vya habari ungataka viandike habari gani kesho ili vionekane vinafanya kazi ?, Hebu wewe ungekuwa mmiliki wa chombo kesho ungeandika nini ?
 
BILIONI 7 ZA MABALOZI ZAANZA KUFANYA KAZI SEKTA YA HABARI

Mei 3 mwaka huu kuna viongozi flani wa vyombo vya habari kutoka Jukwaa la Wahariri (TEF) na mmoja wa MISA TAN nusura watwangane kwa mambo mawili;

Mosi, hili tuliweke kiporo, siku nyingine.

Lakini la pili ni kunyang'anyia uongozi katika kuratibu fedha ambazo mabalozi wawili waliokuwa wamekaa meza kuu; Imni Peterson wa Marekani na Sahah Cooke wa UK waliziahidi.

Si hao tu wengi pale walianza kutokwa udenda, kama ilivyo kawaida ya wanahabari.

Tetesi zinasema huenda pesa hizo zimeshaanza kuingia mtaani.

"Soma tamko la kijinga la mabalozi wa UK na US litakavyokolezwa kesho. Kuna magazeti manne-Tanzania Daima, Mwananchi, Citizen na Nipashe kuna watu wao wameshapata chao," kinasema chanzo cha kuaminika.

Hili salata linaweza kuishia kama lile la Waraka; magazeti hayo yamepenyezewa kitu lakini kuna watu yatawakuta katika sakata hili.

"Upande ambao vifedha kidogo kulainisha story hiyo itoke umetumika kupitisha ushajulikana."

Naionea huruma sekta ya habari. Inawekwa katikati ya michezo ya wenye uchu wa madaraka.

Tusubiri tuone.
Waache waandike tuuu sisi Hapa Kazi Tu. Sisi tunataka maendeleo tu ambayo tayari Rais Magufuli ameonyesha njia tutaendelea kumuunga mkono kama tulivyomuunga mkono Mwl. Nyerere mpaka watakoma hao mabeberu.
 
BILIONI 7 ZA MABALOZI ZAANZA KUFANYA KAZI SEKTA YA HABARI

Mei 3 mwaka huu kuna viongozi flani wa vyombo vya habari kutoka Jukwaa la Wahariri (TEF) na mmoja wa MISA TAN nusura watwangane kwa mambo mawili;

Mosi, hili tuliweke kiporo, siku nyingine.

Lakini la pili ni kunyang'anyia uongozi katika kuratibu fedha ambazo mabalozi wawili waliokuwa wamekaa meza kuu; Imni Peterson wa Marekani na Sahah Cooke wa UK waliziahidi.

Si hao tu wengi pale walianza kutokwa udenda, kama ilivyo kawaida ya wanahabari.

Tetesi zinasema huenda pesa hizo zimeshaanza kuingia mtaani.

"Soma tamko la kijinga la mabalozi wa UK na US litakavyokolezwa kesho. Kuna magazeti manne-Tanzania Daima, Mwananchi, Citizen na Nipashe kuna watu wao wameshapata chao," kinasema chanzo cha kuaminika.

Hili salata linaweza kuishia kama lile la Waraka; magazeti hayo yamepenyezewa kitu lakini kuna watu yatawakuta katika sakata hili.

"Upande ambao vifedha kidogo kulainisha story hiyo itoke umetumika kupitisha ushajulikana."

Naionea huruma sekta ya habari. Inawekwa katikati ya michezo ya wenye uchu wa madaraka.

Tusubiri tuone.
Soma tamko la kijinga la mabalozi wa UK na US litakavyokolezwa kesho
 
sijui unapata faida gani kuongea uongo
 
Mtu mweupe ajawahi mpenda mtu mweusi hapo vita ya wenyew kwa wenyew inatafutwa na waandishi ndio wapumbavu wa kwanza kununuliwa ili kuchochea angalieni Libya ilivyo sasa.

Ushaiingiza ni vita ya rangi za nyuso za watu tayari?

Karne hii who cares which colour your ugly face has?

Tunaangalia maslahi na misingi tunayosimamia!

Marekani anaangalia maslahi yake and then haki za binadamu!

Maana haki za binadamu zikiharibiwa maslahi yake yanakua sio endelevu in a long run!

Who cares the colour of your ass is pink?

Will colour of you butt make America or UK a superpower?

Get the fvck outta here!
 
hoja za mabalozi ziko very genuine,we unakuja kuzijibu kwa porojo za Ki Matonya,2020 the hague itawahusu sana.
Itaenda the Haque wewe na baba yako. Hao Wamarekani hata uana chama hawapo lakini wewe mapovu yamekujaa mdomoniiii
 
Back
Top Bottom