BILIONI 7 ZA MABALOZI ZAANZA KUFANYA KAZI SEKTA YA HABARI
Mei 3 mwaka huu kuna viongozi flani wa vyombo vya habari kutoka Jukwaa la Wahariri (TEF) na mmoja wa MISA TAN nusura watwangane kwa mambo mawili;
Mosi, hili tuliweke kiporo, siku nyingine.
Lakini la pili ni kunyang'anyia uongozi katika kuratibu fedha ambazo mabalozi wawili waliokuwa wamekaa meza kuu; Imni Peterson wa Marekani na Sahah Cooke wa UK waliziahidi.
Si hao tu wengi pale walianza kutokwa udenda, kama ilivyo kawaida ya wanahabari.
Tetesi zinasema huenda pesa hizo zimeshaanza kuingia mtaani.
"Soma tamko la kijinga la mabalozi wa UK na US litakavyokolezwa kesho. Kuna magazeti manne-Tanzania Daima, Mwananchi, Citizen na Nipashe kuna watu wao wameshapata chao," kinasema chanzo cha kuaminika.
Hili salata linaweza kuishia kama lile la Waraka; magazeti hayo yamepenyezewa kitu lakini kuna watu yatawakuta katika sakata hili.
"Upande ambao vifedha kidogo kulainisha story hiyo itoke umetumika kupitisha ushajulikana."
Naionea huruma sekta ya habari. Inawekwa katikati ya michezo ya wenye uchu wa madaraka.
Tusubiri tuone.