Mabilioni haya ya mfuko wa Jimbo ya kazi gani? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mabilioni haya ya mfuko wa Jimbo ya kazi gani?

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by SG8, Jun 14, 2011.

 1. SG8

  SG8 JF-Expert Member

  #1
  Jun 14, 2011
  Joined: Dec 12, 2009
  Messages: 3,198
  Likes Received: 232
  Trophy Points: 160
  Nilikuwa na browse tovuti ya Wizara ya Fedha. Nikakutana na mgawanyo wa fedha za Majimbo yote. Fedha hizi zinafanya kazi gani majimboni? Inawezekana kabisa fedha nyingi hapa nchini zinaishia kwenye siasa hizi
  Kwa hali hii kila mtu anaweza kuwa mbunge kwa sababu fedha za kutekeleza ahadi zako tayari zinakuwepo
   

  Attached Files:

Loading...